Mimi ni mwanamke mwenye ndevu mama yangu anazo bibi yangu mzaa mama anazo dada yangu anazo na wote hao wanaishi maisha yakawaida sana tu na wote wanaishi na waume zao hakuna aliekufa
Wala kuachwa kwa swala la utamu hapo cjui maana kila mtu ana siri yake ila mm kila mwanaume niliewahi kuwa nae huwa ananicfia kua ni myam na watofaut kuliko alikwahi kuwapitia ila nina maisha ya mawaida tu na bado cjaamua kuolewa pia hakuna mwenye maisha magum kiivo niyakawaida sana msituogope wala kutuona sisi ni watofaut
Shemeji/wifi yenu ana kandevu kamoja tu karefu kidevuni, nae anaingia hapa??
To be honest, wengi wenye ndevu original, sio zile zinazotokana na mkorogo, huwa wanakuwa na kingekewa sana cha hela, wote wa design hiyo ninao wafahamu wana hali nzuri sana ya kipato na wengi wao huwa wazuri na watamu sana kitandani. Kimsingi wanafanana sana na wale wanaoanza kupata mvi ujanani, wanawake wanaoota mvi ujanani na wengi mpaka sehemu zao za siri, huwa wanahela sana na ni watamu sana kitandani.
Japokuwa sina experience na haya mambo, ila bibie naomba utambue kuwa siku zote siri ya mtungi ajuae kata bwana, hasa hapo kwenye swala la utamu hapo nahisi hata kama sio wote mnasifa hiyo basi wengi wenu labda mtakuwa na hiyo sifa.......maana najaribu kujiuliza iweje wanaume wengi wasisitize hilo?Mhh!! Mbona mie nina ndevu na viji nywele kifuata na hata mustachi na niko poa tuu,Mwanamke kuwa na ndevu ni maumbile tuu wala hakuna utamu.uchungu wala nini
Japokuwa sina experience na haya mambo, ila bibie naomba utambue kuwa siku zote siri ya mtungi ajuae kata bwana, hasa hapo kwenye swala la utamu hapo nahisi hata kama sio wote mnasifa hiyo basi wengi wenu labda mtakuwa na hiyo sifa.......maana najaribu kujiuliza iweje wanaume wengi wasisitize hilo?