Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,232
- 26,753
mambo mtoto nimekumis sijakutia machoni 2015
Hujasikia ile nyimbo ya yamoto band wanasema unarambo mie muwa si size yako litakupwelepweta
Hujani TIA machoni.....
Ha ha ha . Akimaanisha itapwaya loooh!
Wapi team wembambaaaaaa! Uhuu hu huuuu!
Ha ha ha . Akimaanisha itapwaya loooh!
nimeamini mwanamke anasumbua dunia kuliko hata pesa. Na badoo.
yeah best au kule kule kwenye cinemaHujani TIA machoni.....
vumilia tu dear nina swaga kama P;diddy ila sina madharaWapi team wembambaaaaaa! Uhuu hu huuuu!
Kumbe sijashangaa peke yangu.
Lolest!