Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,423
Yaaani ...ndo maana nimemwambia research yake ni kwa mtogole. Maana anataka kulazimisha ufanano wa tabia za majirani zake na za watu tuliostaarabika..damn it!Kweli huyu mleta maada sijui katokea wapi? Kutwa nzima umeshinda umejibana kwa mavazi ya kiofisi, kanisani harafu ufike nyumbani bado uendelee na nguo zakujibana heeee!!! Hapa dera kwa raha zetu litahusika maana unauachia mwili upumue kwa raha tena kama anakerwa anywe sumu asiwaone wavaa madera
Unaonekana una hizo sifaNavaa sana madera ila sijui kama nina hizo sifa
Jamani madela ni nini?
Mbona hamjibu. Naomba kuona picha ya dera please!?!
Mbona nyie msiovaa hayo madera ndio wenye tabia za hovyo,yaani kabisa umekaa ukatafakari ukaona uje na huu upuuzi unaouita utafiti,dhahiri unaonekana hizo ulizoziorodhesha ndio tabia zako,kuna usemi unaosema simple mind discuss people ,na wewe ndio simple mindkwa sababu umekuja hapa na kujadili watu,tafuta shughuli ingine itakayokuongezea maarifa badala ya kuja hapa na kujadili watu,sijui waswahili ,wazaramo au watu wa Tanga au pwani No,tafuta ishu ingine ya maana kwani unajiangusha wewe siyo great thinker,Great thinker hawezi kuja na petty ishu ya kidaku kama hii,subiri wadaku wenzako wakusupport lakini siyo great thinker hawezi kujadili udaku.
DERA BILA CHURA NI SAWA NA KANZU TU.....HahahahaaaaNimejaribu kufanya research ndogo ya mademu wanaopenda kuvaa madera. Matokeo niliyoyapata:
1. Wanapenda taarabu na vigodoro, kwenye rusharoho huko balaa
2. Waongo, wambeya na washinda vibarazani
3. Wengi hawajaolewa
4. Ni kero kwa wanaume yaani ukikutana nae tu anaomba umnunulie chipsi
5. Ni mabingwa wa kuvuruga ndoa za watu na wanapenda kutembea na waume za watu
6. Wana matusi na hawaangalii wakati wala eneo alilopo. Matusi anayoporomosha hata kwa mtoto wake utafikiri alibakwa
7. .... ongezea
Ntakununulia dera jingine zuriMtuache na madera yeetu
Asante sana mkuu. Kumbe haya ndo madela! Mbona ni nguo ya kawaida tu tena ya heshima na inayofunika mwili mzima? Mimi nilikuwa nafikiri ni nguo ya kuaibisha inayomwacha mwanamke bila kumsitiri sawa sawa. Sioni tatizo hapa jamani!
Teh, ntashukuru ila ukinipa hela nkanunue mwenyewe ntafurahi zaidi[emoji126]Ntakununulia dera jingine zuri
Dela linakuhusu, ebu lichomekee kwenye pichu kisha piga chura.Mbona nyie msiovaa hayo madera ndio wenye tabia za hovyo,yaani kabisa umekaa ukatafakari ukaona uje na huu upuuzi unaouita utafiti,dhahiri unaonekana hizo ulizoziorodhesha ndio tabia zako,kuna usemi unaosema simple mind discuss people ,na wewe ndio simple mindkwa sababu umekuja hapa na kujadili watu,tafuta shughuli ingine itakayokuongezea maarifa badala ya kuja hapa na kujadili watu,sijui waswahili ,wazaramo au watu wa Tanga au pwani No,tafuta ishu ingine ya maana kwani unajiangusha wewe siyo great thinker,Great thinker hawezi kuja na petty ishu ya kidaku kama hii,subiri wadaku wenzako wakusupport lakini siyo great thinker hawezi kujadili udaku.
Its true , siwapendi kweliNimejaribu kufanya research ndogo ya mademu wanaopenda kuvaa madera. Matokeo niliyoyapata:
1. Wanapenda taarabu na vigodoro, kwenye rusharoho huko balaa
2. Waongo, wambeya na washinda vibarazani
3. Wengi hawajaolewa
4. Ni kero kwa wanaume yaani ukikutana nae tu anaomba umnunulie chipsi
5. Ni mabingwa wa kuvuruga ndoa za watu na wanapenda kutembea na waume za watu
6. Wana matusi na hawaangalii wakati wala eneo alilopo. Matusi anayoporomosha hata kwa mtoto wake utafikiri alibakwa
7. .... ongezea