kwani mimi ni instrument mpaka nifanyiwe majaribio
sifa yangu mojawapo ni kuwa najua kukomaa na misimamo yangu....hijalishi nani anaionaje as far as haivunji sheria za Muumba wetu....
firstlady..
ukichukua wanawake kumi wanene
unakuta wanatabia zinazofanana...
na ukichukua wembamba kumi utakuta
the same,wembamba hasa tabia ya kuwa selfish.......
On the other side, wanaume wanene, warefu kuanzia kimo cha 5.5 - 5.8, wenye vitambi vya wastani na upara wana sifa ambazo wanawake wengi wangependa waume zao wawe nazo.
kwani mimi ni instrument mpaka nifanyiwe majaribio
sifa yangu mojawapo ni kuwa najua kukomaa na misimamo yangu....hijalishi nani anaionaje as far as haivunji sheria za Muumba wetu....