Sifa za wanawake/wadada wanene

Huwa napenda nwanamke 2*2 potabo sana amabe nikimbana hanipi tabu
 
Wanaogeukageuka sana kwenye mapenzi sio kwamba ni wajuaji hawajaelewa vizuri starehe iko wapi, mtu game moja style kumi, ni utoto tu ukikua unatulia na kufaidi tu, atleast 3 style per game lol

Hujamuelewa mdau............tuliza akili kisha utapata kilichondani.
 
Nyani Ngabu, ushepu niutoe wapi mie?

Unajua kuna mdada mmoja hivi nafahamiana naye anapenda kujiita "Toto lo Kiislam". Huyu mdada kajaaliwa nyonga na mbolea ya ukweli.

Sasa mi huwa napenda kumtania 'where ya get that ass from Toto?'....na ye hunijibu 'I get it from my mama'

Labda na wewe huo ushepu you get it from yo mama:redface:
 


sorry toto la kiislam hapa JF ?
au badoo? lol
sema tu google fast lol
 

Hahaaaaaaa. Sina kabisaaaa. Mistaken Identity.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…