Sifa za wanawake/wadada wanene

Sifa za wanawake/wadada wanene

Duh! Haraka sana nakimbia kwa mchina kutafuta ubonge nyanya, kumbe siri iko hukuuu
 
1.wepesi wa kusamehe..
2.wanapenda ku please
3.wanatulia kwa mwanaume mmoja
4.wakipenda wanapenda kweli..
5.wepesi wa kuomba msamaha
6.sio wabishi
7.wanajua kudeka na kudekeza
8.watiifu.
9.hawaringi sana.
10.wanasahau haraka.....

kwa ujumla ukitaka kupendwa na mwanamke
chagua mwanamke mnene......

hivyo eeehhh!!!
 

Attachments

  • IMG-20130515-WA0001.jpg
    IMG-20130515-WA0001.jpg
    40.8 KB · Views: 402
1.wepesi wa kusamehe..
2.wanapenda ku please
3.wanatulia kwa mwanaume mmoja
4.wakipenda wanapenda kweli..
5.wepesi wa kuomba msamaha
6.sio wabishi
7.wanajua kudeka na kudekeza
8.watiifu.
9.hawaringi sana.
10.wanasahau haraka.....

kwa ujumla ukitaka kupendwa na mwanamke
chagua mwanamke mnene......
kwahyo siye vimbau mbau ndo vile teena fungu la kukosaa?haya aisifuaye mvua imemnyea
 
Wanawake wanene wengi huwa wameridhika dats y kukaa na kitu mda mrefu hawezi tofauti kbs na wembamba hutunza vitu vingi sn mioyoni mwao hata kama kdg ninauhakika na ilo asilimia80%
 
1.wepesi wa kusamehe..
2.wanapenda ku please
3.wanatulia kwa mwanaume mmoja
4.wakipenda wanapenda kweli..
5.wepesi wa kuomba msamaha
6.sio wabishi
7.wanajua kudeka na kudekeza
8.watiifu.
9.hawaringi sana.
10.wanasahau haraka.....

kwa ujumla ukitaka kupendwa na mwanamke
chagua mwanamke mnene......
Dah kama unamsema wangu vile ukimwambia tu haujisikii vizuri lazima aibuke mageto kukuangalia,umesahau nyingine ni watamu wana joto sana
 
Duh! Haraka sana nakimbia kwa mchina kutafuta ubonge nyanya, kumbe siri iko hukuuu
Siyo unene wa kutafuta hapo utabadilika mwli tu lkn utakuwa yule yule hapa wanazungumzia wanawake wanene kwa asili yao
 
watu na nyama zao!
ehehehheehhehhe ila hii theory sijui iliianzia wapi!
ngoja nianze kupiga miburger nini masotojo !
mishkaki mbudhi na miwine ili nikimbizane na hii thread lakini sasa sio ishakuwa outdated?
ya mwaka 2010 hii!three years baaaack!
 
1.wepesi wa kusamehe..
2.wanapenda ku please
3.wanatulia kwa mwanaume mmoja
4.wakipenda wanapenda kweli..
5.wepesi wa kuomba msamaha
6.sio wabishi
7.wanajua kudeka na kudekeza
8.watiifu.
9.hawaringi sana.
10.wanasahau haraka.....

kwa ujumla ukitaka kupendwa na mwanamke
chagua mwanamke mnene......
100+20% Umesema kweli wanawake wembamba ni wazuri kwa kutumia tu lkn kwenye issue za kuoa oa mnene!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Wanawake wembamba kwa wivu we acha tu wakati ni wagawaji wazuri tu nje!!!
Mnisamehe bure wanawake wembamba napita tu mimi mwenyewe mgeni!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom