tinna cute
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 4,630
- 2,310
Ukweli mtupu. Asante mama!!!!
Based on what research? by whom? and from where?1.wepesi wa kusamehe..
2.wanapenda ku please
3.wanatulia kwa mwanaume mmoja
4.wakipenda wanapenda kweli..
5.wepesi wa kuomba msamaha
6.sio wabishi
7.wanajua kudeka na kudekeza
8.watiifu.
9.hawaringi sana.
10.wanasahau haraka.....
kwa ujumla ukitaka kupendwa na mwanamke
chagua mwanamke mnene......
With all due respect mkuu, ulishadeclare interest kuwa unapenda wanene na pengine umeoa mwanamke mnene?1.wepesi wa kusamehe..
2.wanapenda ku please
3.wanatulia kwa mwanaume mmoja
4.wakipenda wanapenda kweli..
5.wepesi wa kuomba msamaha
6.sio wabishi
7.wanajua kudeka na kudekeza
8.watiifu.
9.hawaringi sana.
10.wanasahau haraka.....
kwa ujumla ukitaka kupendwa na mwanamke
chagua mwanamke mnene......





















```




















```
ndo maana nampenda sana mke wangu... akiwa anataka jambo fulani lifanyike huwa anatumia unene wake kunishawishi... !!!

mm kibonge mkuuWe utakua Kibonge wew,..
ni kweli eti joseWacha wee
mm kibonge mkuu
wenye vibonge wenundo maana nampenda sana mke wangu... akiwa anataka jambo fulani lifanyike huwa anatumia unene wake kunishawishi... !!!
ahhaahhah sawa kibonge mwenzanguNikwelii naunga mkono hoja %100