Sifa za wanawake/wadada wanene


hahahahhaaaaaaaa eeeh! xpirienced eeh! just dont quote......"
 
Awe mnene lakini ana ushepu ili avutie maana wale wanene ambao ni shapeless.... Naaahhh
 
Haiwezi kusemwa au kuwa kweli zaidi ya hapo.
 
Kwa hiyo wembamba ni kinyume chake?
he he he he! unauliza pombe lily's???? afu babu nahisi umeguswa, kwani yule mkeo mwingine, na yule mwingine, na yule mwingine ni wembamba?? lol! The Boss una like zangu kama 50!
 
Last edited by a moderator:
Maeneo ya joto msuguano aw minyama uzembe Huzaa harufu unless awe na high degree ya kujifanyia usafi na maperfume!
pole yako huyo uliyekutana naye! mpeleke kwa Zinduna au my dada gfsonwin akafundwe usafi!
 
Last edited by a moderator:
Ila twende mbele turudi nyuma jamani inategemea ni unene wa aina gani??maana unene mwingine khaaa...shape huwezi elewa kama mtu anaenda au anarudi mnene but nyuma flat, au kuna wale wengine juu wanene chini wembamba, wengine manyama uzembe yamewajaa tumbo limegawanyika mara tatu,raha ya mtu mnene mwili ukae kwenye good order unless otherwise no thank you!!
 

Huwajui wewe. Hapo kwenye red umepiga nje! Rudi mtaani, kachunguze upya!
 
Kaunga, una supu ya kutosha BBQ ya kijiji au wee ni ka starter na mtu mmoja tu?

Nimemstukia The Boss, uzi huu lengo lake ni kujua maumbile ya wadada wa JF; he is very smart you know!

Simpi hiyo satisfication. LOL

Ila weye nakutumia picha yangu kwa PM nikiwa na swimming suit, ukimuonesha utaula! LOL
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…