Sifa za wanaume weupe

nyie ndo wale wafupi BREAKING NEWS ikitokea mpka kukufikia uko chini nakuwa BROKEN NEWS


wapenzi wote niliowai kuwa nao wafupi asilimia kubwa. nivikorofi vinapenda kushindana akisema kitu anataka kisibadilika.

nawezana nao ata mke wangu ni mfupi
nimecheka sana
 
Wanawake watasema mengi ila kiukweli hakuna mwanamke anataka kuzaa mtoto mweusi
na mfupi

Emb fikiria katoto kadogo kakiwa keusi
nani atam-beba?

Acheni kujifanya,
Asanteeeeeeeee
 
Umebadili gia naona

Mi sina sifa yao nzuri hata moja, hata ya kinafiki sina ni viumbe nisio na mzuka nao,,
usimfatishe huyoooo...Hapindui kwenye hizo Rangi 🤣 🤣
 
Mie wananiboa kwenye unyanya nyanya jaman...khaa..wee kibulb kikipasuka ashakimbilia nje...akichomwa ka mwiba shoga utasumbuliwa ww.....week zima mwekundu
...acheni hizo

Umenikumbusha Kaka mmoja aliwahi shikwa na jipu sikioni ndani
,akaja kugundua baadaye kama Ni jipu
Alilia Sana,sikio lote lilikua jekundu maana Ni mweupe halafu akawa anajiongezea Tena dah
 
Number tano umechemka hasa kwa hilo la kujichubua.wanao ongoza kwa kujichubua ni wanaume weupe na wanawake weupe sasa unajiuliza huyu mtu anataka nini?mbona ni mweupe tu?
 
Ww ni mwafrika lakini tayari umebagua weusi wenzako,vipi ikiwa ungekuwa mzungu??? Si ungewaua kabisa???


Asee ww jamaa ni mjinga 100% hakuna anayebisha
wow! there ur
 
Number tano umechemka hasa kwa hilo la kujichubua.wanao ongoza kwa kujichubua ni wanaume weupe na wanawake weupe sasa unajiuliza huyu mtu anataka nini?mbona ni mweupe tu?
sio kweli...angalia wanaojichubua weusi na weupe wapi wanaojichubua zaidi? katk 10 utakutana na weupe wanajichubua wa 3 ila weusi utakutana nao 7 wanajichubua
 
14--20 = Wanaume weupe hufanya mambo taratibu na yana busara zaidi huwa hatupendi kukurupuka.[/QUOTE]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…