Bella Ciao
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 1,804
- 4,469
SawaMi nimekwambia wanaume weusi wanatuvutia wanawake wengi tu we umekomaa na kubisha,,, kesho bandika uzi km huu wa kusifia wanaume weusi uone sifa zao zitavyomwagika maana nilizokutajia hapo hata robo hazifiki
UmezinguaWanaume weupe hawajui kut o m _ a n a
Karibu...Me mwanaume akiwa mweupe sana sijui namuonaje...napenda black flan hiviii amazing
Kasema ukweli aujuao....Kapeace ww...!una tabia mbaya kwakwel...acha tabia mbaya..Mungu hapend
Karibu..Mi napenda rangi nyeusi na sauti nzito tu
Kama ulichoandika ni kweli basi nadhani mimi sikutakiwa kuwa Jay White ilitakiwa niwe Jay Black.Iko hivi wanaume weupe ni baridi sana na si kwa moto hii ni kwa mujibu wa madem wengi ambao nishawasukumizia shaft. Wanasema sisi weusi tii ni wa moto sana kiasi kwamba kitu kikiwa kinazama huwa wanahisi kama wanaingiziwa tochi ya motoooo kwenye papuchi ya bariidiiiiii, wanadai ni raha sana. Mwanaume mweupe kwao ni wakupiganao picha na zaidi huwaona kama wanawake wenzao. ( si unajua wanaume tunapenda wanawake weupe?) Pili kwetu sisi isamilo Genge lambuzi pale Mwanaume mweupe hata awe mkubwa kama nyumba hawezi kukupiga. Ni wadhaifu kichizi zaidi ya mademu. Kama unabisha njoo Nyakabungo kwa senso au chekechea na weupe wako uone kama hawajakutigolize kwa starehe na ukalizika na weupe wako kama panadol. Kifupi weusi ni alama ya nguvu uvumilivu amani na utu. Na weupe ni vice versa ya hivyo. Karibu genge la mbuzi tukusugue mpaka dharau ipungue rohoni mwako. Ni hayo tu
Sio chocolate flan... amazing....sio kweli..mie wanangu wana weusi mzuri Mwachi Ruge atasubiri...wana rangi tamu fulan..si weusi si weupe..!sijui ndo brown ile..!acha kbs..macho ya mama yao..kama visungura vile😂😂
Namba 5 umechemkaHapa naongelea wanaume weupe kwa ukanda wetu wa Africa ambao wana weupe wa kurithi toka kwa wazazi either ni mama au baba au hata babu na bibi huko ila tunachojua ni Mweupe au wale wanaume ambao hawezi kumaliza siku hajaitwa WHITE(waitiii), yani weupe ndio identity yake.
SIO WAZUNGU.
Ukikuta naitwa SAM utaskia nenda kwa Sam yule mweupe...au nenda kwa Davie white nk nk.
1.Mwanaume mweupe sio mchafu so kuanzia leo kama unajijua ni mweupe halafu mchafu mchafu,Jitathmini.
2.Mwanaume mweupe hapigani,aseee mtoto wakiume ukishajiona wewe mweupe Kila kitu unatakiwa umwachie Mungu,kukunjana kunjana sio wala nini,hayo mambo waachieni ma Black.. ubabe wa wanaume weupe upo kwenye Wallet yake.
3.Mwanaume weupe Akitongoza halazimishi..anaongea mara Moja (nakupenda) Demu hakuelewi unapita vile,haina kum bembeleza hiyo,wewe unaefatilia Jibu lako hadi leo hujapewa Kama ni mweupe utakua umejichubua Hukuzaliwa hivyo.
4.Mwanaume mweupe Hasuki,havai hereni,havai mlegezo wewe kama unafanya hivyo vitu utakua weupe wako ni wa kwenye makopo,chama cha wanaume weupe hawana hayo matabia.
5.Mwanaume mweupe Ana mpenzi m1 tu,kuchanganya changanya wapenzi mara leo huyu kesho yule,hayo matabia waachieni ma black.
6.Mwanaume mweupe rafiki ake anawapenda wazazi wake,ukijiona we mweupe halafu hauna time na wazazi wako Jichunguze rangi yako haina muda utakua black.
7.Mwanaume mweupe havuti sigara au kunywa Pombe kabisa...na ikitokea anataka kufanya hivyo anafanya hivyo vitu ndani kwake maana Friji limejaa muda wote na kuvuta anavuta mahali akimaliza anatulia zake..Kulewa mpk kuyumba yumba kunuka sigara waachieni ma Blacks
8.Mwanaume mweupe ananukia 24/7 ndani ya mwaka mzima
9.Mwanaume mweupe ni Smart 24/7 ndani ya mwaka mzima
10.Mwanaume mweupe Habip,hatumi tafadhali nipigie yeye ni anapiga tuuu na txt moja moja.
11.Mwanaume mweupe ni mtu wa Ibada anamjua Muumba wake na anajua ibada ipasavyo.
12.Mwanaume mweupe anapenda watoto na watoto humpenda..hamnaga mtoto anakataa kubebwa na MWANAUME MWEUPE.
ITAENDELEA toleo lijalo.....
Nimejaribu kurefar kwa rafiki yangu mweupe hizi sifa zimetiki13.Wanaume weupe walaini walaini
14.Wanaume weupe hawafanyi kazi za kutumia nguvu
15.Wanaume weupe ni mario
16.Wanaume weupe wengi wapo kwa wazazi wao japo wamebalehe
17.Wanaume weupe wanatembea kwa kunata/kuringa ringa kama upande wa pili hukoo.
18.Wanaume weupe wanadeka deka
19.Wanaume weupe wanakaa kwa dada zao walioolewa
20.Wanaume weupe kutwa kujiangalia ktk vioo.
ITAENDELEA.........
Hapa naongelea wanaume weupe kwa ukanda wetu wa Africa ambao wana weupe wa kurithi toka kwa wazazi either ni mama au baba au hata babu na bibi huko ila tunachojua ni Mweupe au wale wanaume ambao hawezi kumaliza siku hajaitwa WHITE(waitiii), yani weupe ndio identity yake.
SIO WAZUNGU.
Ukikuta naitwa SAM utaskia nenda kwa Sam yule mweupe...au nenda kwa Davie white nk nk.
1.Mwanaume mweupe sio mchafu so kuanzia leo kama unajijua ni mweupe halafu mchafu mchafu,Jitathmini.
2.Mwanaume mweupe hapigani,aseee mtoto wakiume ukishajiona wewe mweupe Kila kitu unatakiwa umwachie Mungu,kukunjana kunjana sio wala nini,hayo mambo waachieni ma Black.. ubabe wa wanaume weupe upo kwenye Wallet yake.
3.Mwanaume weupe Akitongoza halazimishi..anaongea mara Moja (nakupenda) Demu hakuelewi unapita vile,haina kum bembeleza hiyo,wewe unaefatilia Jibu lako hadi leo hujapewa Kama ni mweupe utakua umejichubua Hukuzaliwa hivyo.
4.Mwanaume mweupe Hasuki,havai hereni,havai mlegezo wewe kama unafanya hivyo vitu utakua weupe wako ni wa kwenye makopo,chama cha wanaume weupe hawana hayo matabia.
5.Mwanaume mweupe Ana mpenzi m1 tu,kuchanganya changanya wapenzi mara leo huyu kesho yule,hayo matabia waachieni ma black.
6.Mwanaume mweupe rafiki ake anawapenda wazazi wake,ukijiona we mweupe halafu hauna time na wazazi wako Jichunguze rangi yako haina muda utakua black.
7.Mwanaume mweupe havuti sigara au kunywa Pombe kabisa...na ikitokea anataka kufanya hivyo anafanya hivyo vitu ndani kwake maana Friji limejaa muda wote na kuvuta anavuta mahali akimaliza anatulia zake..Kulewa mpk kuyumba yumba kunuka sigara waachieni ma Blacks
8.Mwanaume mweupe ananukia 24/7 ndani ya mwaka mzima
9.Mwanaume mweupe ni Smart 24/7 ndani ya mwaka mzima
10.Mwanaume mweupe Habip,hatumi tafadhali nipigie yeye ni anapiga tuuu na txt moja moja.
11.Mwanaume mweupe ni mtu wa Ibada anamjua Muumba wake na anajua ibada ipasavyo.
12.Mwanaume mweupe anapenda watoto na watoto humpenda..hamnaga mtoto anakataa kubebwa na MWANAUME MWEUPE.
ITAENDELEA toleo lijalo.....
13.Wanaume weupe walaini walaini
14.Wanaume weupe hawafanyi kazi za kutumia nguvu
15.Wanaume weupe ni mario
16.Wanaume weupe wengi wapo kwa wazazi wao japo wamebalehe
17.Wanaume weupe wanatembea kwa kunata/kuringa ringa kama upande wa pili hukoo.
18.Wanaume weupe wanadeka deka
19.Wanaume weupe wanakaa kwa dada zao walioolewa
20.Wanaume weupe kutwa kujiangalia ktk vioo.
ITAENDELEA.........
Iko hivi wanaume weupe ni baridi sana na si kwa moto hii ni kwa mujibu wa madem wengi ambao nishawasukumizia shaft. Wanasema sisi weusi tii ni wa moto sana kiasi kwamba kitu kikiwa kinazama huwa wanahisi kama wanaingiziwa tochi ya motoooo kwenye papuchi ya bariidiiiiii, wanadai ni raha sana. Mwanaume mweupe kwao ni wakupiganao picha na zaidi huwaona kama wanawake wenzao. ( si unajua wanaume tunapenda wanawake weupe?) Pili kwetu sisi isamilo Genge lambuzi pale Mwanaume mweupe hata awe mkubwa kama nyumba hawezi kukupiga. Ni wadhaifu kichizi zaidi ya mademu. Kama unabisha njoo Nyakabungo kwa senso au chekechea na weupe wako uone kama hawajakutigolize kwa starehe na ukalizika na weupe wako kama panadol. Kifupi weusi ni alama ya nguvu uvumilivu amani na utu. Na weupe ni vice versa ya hivyo. Karibu genge la mbuzi tukusugue mpaka dharau ipungue rohoni mwako. Ni hayo tu
Subirin Uzi wenu utakuja soon!Sie maji ya kunde tunakoment wal
Utakataaje hapaHuyu ni ke au me!! Km ni me mweupe, ye aendelee kupata tabu sana
Height ya da prince ni wastani inafaa sana hasa ukitegemea sie wanawake wengi vimo vyetu ni shotiiiii japo mi naweza kulingana na da prince