Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,694
Yaan unajiulza hv hyu alikuwa haoni ama???na ukiangalia muolewaj so kwamba ana kitu cha ziada kilichomvutia mwanaume hyo ndo nabak kusema kwamba beautiful is within the eyes of the beholder
Nawakataa sana tu hao wa hivyo,,, nawaona km mtoto wangu wa kumzaa hata awe ananizidi umri wanaume weupe kwangu ni 'watoto wangu'
Ndio umekubali au tusi??Ofakile
Wanaume weupe hawajui kut o m _ a n a
Yaani nikisema hapa sijui itakuwaje, ukimpa date ya kwanza ukafika ukaanza kudengua za sitaki nataka anakuacha anakupa na pole juuuu!!!! Mtu mzima unajua hapa hamna kitu
Mwanaune mweupe namuona she mwenzangu tu,,
Wana mambo ya kingese kweli wako nyolo nyolo tuuu
Hata mpango wa kuwajaribu sinao
Wanaume weupe wanagegedwa sana mjini kama hujui fuatilia! Wanapakuliwa kama warembo wengine.Wanaume weupe ni hatari sana kwa kukata marinda na kuzibua mitaro. Sasa wewe inaonekanwa either walishakuzibua au unawashwawashwa na Kijambio.
Mimi ni black kabisa mkuu huku mtaani wananiita cheusiKama ni white hata hodi usipige
Nzuri hiyo kufunguka kwako kutawasaidia wengi wasiingie vichwa vichwa kwa hao akina chaurembo weupe!Makonde yenu yote nimeyapokea ilmradi ukweli nimeusema wanaume weupe hamnivutii popote
Mie napenda na kutaaamani mwanaume mwenye SUGU MIKONONI JAMANππ
Sawaa mkuu kupanga ni kuchaguaHaijawahi tokea nikavutiwa na mwanaume mweupe mkuu
Cultrural imperialsm na racism imewakaa mpaka visogoni.Wanawake watasema mengi ila kiukweli hakuna mwanamke anataka kuzaa mtoto mweusina mfupi
Emb fikiria katoto kadogo kakiwa keusinani atam-beba?
Acheni kujifanya,
Huu uzi ufutwe!Waafrica kweli mabwege ubaguzi wa kisenge kabisa huu
πππππβββ...me ni wa blown fulan..wajanja km mama yao..wako sharp..!
Hiyo rangi yako tamm...kama haijadimba lakinii
Kunyataπkudimba ndio nini π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Kunyata
πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈahahahahaha kwanini ninyate ahahahahahahaha mnadhambi sana ninyi wanawake daaaah