niliwahi kumsikia fundi redio kuwa kuna baadhi ya watu walikuwa wakimpelekea redio ambazo betri hazikupangiliwa sawasawa (enzi zilee za redio za mkulima). Yeye akiona vile humwambia mwenye redio amuachie halafu apite baadae, huziweka sawa zile betri na mwenyewe akifika anapigwa chaji ya ufundi, maisha yanaendelea.