Sifa za wanafunzi kulingana na vyuo

Kama ni kweli kuna hatari huko tuendako na future yetu kama nchi
 
mbona st.joseph college cha dsm sijakiona.mdau mmoja wa maswala ya elimu aliniambia future and compitent computer programmers and engineers in tanzania watatokea pale.cos wale wakatoliki wamejipanga na wana facility za kutosha.so hicho chuo kinawekwa ktk kundi gani kwa mujibu wa mleta mada?
 

Ulaaniwe ugongwe na gari ufirie kwa mbali!
 

sio kila aliyeko jamii forum ni grt thinker wengine ni vilaza kama huyu
hivyo vyuo mnavyovipondea watu wanakula mishahara saii,kwenye ajira kama huna refa au una gpa mbovu hata kama ukimaliza chuo gan utavuta ndala
 

umeibadilisha hyo Sua ni ya washamba but wenye ucongo na elimu
 
Hahaha na huyu m2 anajitiita great thinker 2we 2nafkiria sio kuandika ujinga 2
 
hey man no research no right to speak.ucponde vyuo vya wa2 bila evidence na kama unayo 2oneshe.na kaa ujue kuxoma chuo o kozi nzuri cio itakayo kupa ww kazi.
 
Me nimesoma cbe procurement ninafanya mitihan ya bodi,nimekimbiza mbaya waliotoka mzumbe wanajua,so siyo wote cbe ni vilaza dogo
 
Mimtu mingine bwana cjui ikoje ishajiona masparo.
 
Somethn must be wrong kwa mtoa mada,shame on U!
 
Mleta mada mwenyewe umechaguliwa wapi? Utakuwa Mzumbe eti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…