Kuna Kauli ya #The Boss Humu huwa anasema Dont Take JF so Serious.. Yaani Kuna WanaJF humu huwa Naona Sometimes ni Sifa Utadhani huwa Hawana Shida na Maisha Kwao Ni Simple sana.... Ila. ukijua hamna Lolote
Sifa Zao Sasa
1. Daaah Kuna Jamaa Alikuwa anaripoti Habari ITV bhana Akanikatisha Dinner yangu ya 45000 hotelini
2. Nikapaki Gari yangu pembeni.. Kumbe Hata Baskel hana
Ongezea Zingine...
daa cm za tecno mbovu kwel bora hata hii iphone 6 yangu umejuaje kama tecno mbovu kama hujatumia?
Kujua ubovu wa kitu sio lazima uwe umekitumia
ni kwel bt wamezid sana
85% wana magari ya maana ya wenzao wanayaita baby walker
Pole sana mkuu