Sifa za usajili kidato cha sita (ACSEE)

Sifa za usajili kidato cha sita (ACSEE)

afu m2 kama huna ushaur pita kmykmy 2cje kwazana bure make mi 2jachaguliwa na mpaka xaxa celew ni kwann
 
Ni kweli. Mi dogo kafaulu vizuri sayansi lakini kapelekwa art HKL. Alikuwa na CBB comb ya CBG lakin ana CCC HKL. Inaonesha mwaka Jana sayansi wamefaulu sana. Nimehangaika njinsi ya kumuhamisha nimekwama. Mwenye uelewa anisaidia. Shule aliyopangiwa ina art tu.
Mnh km hajapat ht D ya math sawa kwa kupangiwa HKL.
 
Ni kweli. Mi dogo kafaulu vizuri sayansi lakini kapelekwa art HKL. Alikuwa na CBB comb ya CBG lakin ana CCC HKL. Inaonesha mwaka Jana sayansi wamefaulu sana. Nimehangaika njinsi ya kumuhamisha nimekwama. Mwenye uelewa anisaidia. Shule aliyopangiwa ina art tu.
Mathematics wabaiangalia sana.
 
unapotosha umma hufai kuigwaa.... necta anapiga kama kawa, sifa ni C3 watu kibao wamechaguliwaga second selection miaka yetu na wamepigaga necta vizuri, mfano mwaka wetu 2011 Ifunda walikuja wadau second selection unakuta PCM, ana DDB... kuna PCB alikuwa na DDC natena saizi wapo mwaka watatu chuo na wote walitusuagaa... pcm alitokaga na iii..16 pcb aktokagaa na iii..15, pcm yupo mwengee universty pcb yupo sokoine,,,, ACSEE2013
 
Back
Top Bottom