Sifa za TARIME ni zipi?

Kwani haujiamini mpaka unaulizia data za Wilaya nzima ?kama unataka taarifa za Tarime nenda kwa Mkuu wa Wilaya au viongozi wa siasa wa Tarime au Kama vp si ukasome hapo hapo Kwenu kwani lazima usome Tarime?
 

nitakomaa nao si unajua kazi na dawa
 
Kuchomana visu, kupigana mapanga, kuchomana mishale, uvutaji bangi na mirungi, kuua wake/wanawake, kuibiana mifugo, ubishi usio na sababu.
 
Mkuu Jamaa_Mbishi umeniacha hoi kwa kicheko, unayosema ni kweli kwa mujibu wa redio mbao.
 
Bishanga, HorsePower, Heaven on earth, grafani11, Blaine; gfsonwin hebu angalieni kizazi cha Mulugo hiki halafu mniambie kama kuna aliyebaki salama na mniambie kama atakuja na flying colour au atalate nini huko anakoenda
Mkuu Mr. Rocky umenikumbusha ule usemi wenye swali aliowahi kutoa Mheshimiwa Alhaji Ally Hassan Mwinyi Rais wetu mstaafu, "ukiwa unaoga bafuni halafu kwa bahati mbaya akapita kichaa akazitoa mlangoni nguo zako na kukimbia nazo, na mwenye mali nawe ukatoka mbio kumfukuza. Watazamaji barabarani wakiangalia watasema nani ni kichaa zaidi?".

Niliiona post yake mkuu, lakini nilichelea kuonekana kama mtu aliyenyang'anywa nguo na kichaa halafu nikaanza kumfukuza.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu grafani11 nimeona hiyo ila mi nimeamua kujilipua na kwa taarifa yake anasisistiza kuwa atakomaa nao sijui tutegemee nini kama kwa umri wa Secondary anaanza kutafuta machangu akifika chuo sijui ndo atakuwa analala Buguruni au tandale uwanja wa fisi
 
Last edited by a moderator:
Na bado akifeli atasema NECTA imetunga mtihani mgumu. Au pengine anajivunia grade mpya za Kawambwa na ndugu yake Mlugo zitamvusha.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Rocky huyo dada sijui kwanini nimeukubali wimbo wake sana na tofauti na hobi zangu za miziki ya Bakulutu na wazee sugu.

Same to me here grafani11 nimeukubali sana ule wimbo wa huyo mwanadada japo sina hobby sana na nyimbo hizo ila kiasi ameongelea majanga tuliyo nayo kama kijana wa secondary anaulizia machangu badala ya kuulizia ni wapi nitapata material za kutosha au vitabu vya kutosha au sehem gani kuna mtandao wa wanafunzi wanaojisomea ni majanga
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli mkuu Rocky, enzi zetu tulipokuwa tunaanza aidha kidato cha kwanza au cha tano, kitu cha kwanza ni kutafuta kwa nguvu zote urafiki na mtu aliyekuzidi kidato ambaye kichwani kuna vitu ili akuachie materials/notsi.

Vijana wetu wa siku hizi kitu cha kwanza ni kuulizia mademu kama wapo wa kutosha, tutafika kweli na haya majanga!! Kweli Snura aliona mbali...
 
Last edited by a moderator:

Mkuu grafani11 kama una familia wafundishe zaidi njia ya Mungu na kumtegemea Mungu hatafikia sehem ya kuuliza machangu kabla hajauliza suala lililompeleka shule
 
Last edited by a moderator:
Mkuu grafani11 kama una familia wafundishe zaidi njia ya Mungu na kumtegemea Mungu hatafikia sehem ya kuuliza machangu kabla hajauliza suala lililompeleka shule
Ni kweli kabisa mkuu hakuna njia ya mkato kufikia mafanikio bila kumtanguliza Mungu kwanza.

Hao vijana ukifuatilia historia yao unaweza kubaini hata wazazi wao ni walewale akishalipa ada ndio amemaliza majukumu yake tuonane kwenye ripoti ya muhula hata daftari la mtoto hajui limekaaje..
 
Last edited by a moderator:

Kabisa mkuu na hata umuulize mzazi mwanao anasoma shule gani au combination gani hajui ila yeye anajua kutoa ada na nauli ya kusafiri kwa mtoto
 
Msaada kwa aliyekuepo huko maana naenda kusoma huko pia kuna machangu? Tafadhali sana!

------- huna akili kabisa yani unatu-postia hapa uhalo wako eti machangu wanapatikana?.unaenda kusoma au kufanya ngona?,inavyoonekana wewe hata kufaulu kwako uliiba mtihani.pia nahisi wewe ni shoga kule kushogana hamna labda tafuta uhamisho uende zenj utawapata wa kukushoga.------- omosagani uwee
 
aisee Mr Rocky umetoa maneno ya hekima sana,asipobadili akaachana na habari za machangu,ategemee ziro na ukimwi juu
 
Asante sana mkuu ehee kumbe
ila ni aina ya vijana tulio nao mkuu ambao wanaenda kujiunga na secondary wanalowaza ndio hilo mkuu
 
Last edited by a moderator:
ila ni aina ya vijana tulio nao mkuu ambao wanaenda kujiunga na secondary wanalowaza ndio hilo mkuu

sasa kwa nini wakifeli tunawalaum NECTA?.Mara Ndalichao jiuzuru,kumbe hawasomi wamekalia ngono.kweli hili nalo janga lingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…