Sifa za mwombaji NACTE 2017, waliomaliza 2016 hawaruhusiwi kuomba?

The Negro

Member
Aug 27, 2016
41
21
Wakuu habari zenu!
Ninaomba kujulishwa kuhusu tangazo la nacte la tarehe 23 january kuhusu kufunguliwa kwa dirisha la udahili wa ngazi za cheti na stashahada .
Moja ya sifa za mwombaji wamedai kua awe amememaliza kidato cha nne kuanzia mwaka 2015 na kurudi nyuma, sasa ningepe kuuliza je waliomaliza kidato cha nne 2016 hawaruhusiwi kuomba?
Naombeni usaidizi wenu wakuu!

bdcae815e9abc6150c56bf4c3dbb5142.jpg
 
Kuna baadhi ya vyuo kama TIA unakubaliwa hata kwenye matangazo yao wanatangaza hivyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom