Sifa za mwanume wa kweli

Mwanaume wa kweli lazima aonje mambo ya uwani
 
Inapendeza sana...

Ukishazaliwa mwanaume ni mwiko kabisa, kusubiri mpaka upewe, wewe chukua tu...

Usitegemee huruma kutoka kwa watu, wewe fanya tu...

Usipende kusifiwa, wewe tenda tu...

Usingoje kuletewa, kifuate/vifuate...

Cc: mahondaw
Teh nimeipenda hii

Chukua tu
Fanya tu
Tenda tu
Vifuate......
 
Mwanaume wa kweli ni yule mwenye kujituma, awe na busara, hekima na upendo.
 
Ewaaaaaaaaa.

Na hayo ndio mapenzi ya kweli shoga sio kila siku sisi tu.
Hahaha hiyo ipo kwenye muvi tu swaiba, hivi swaiba umesahau baba ndo kichwa ya nyumba? Hata mzazi amkosee vipi mtoto, kumwomba msamaha ni kumbembeleza na kumpa viofa vya apa na pale mpaka anasahau
 
Hahaha hiyo ipo kwenye muvi tu swaiba, hivi swaiba umesahau baba ndo kichwa ya nyumba? Hata mzazi amkosee vipi mtoto, kumwomba msamaha ni kumbembeleza na kumpa viofa vya apa na pale mpaka anasahau

Hahaaaa. Jamaani Swahiba. Ila hii inapendeza isipolalia upande mmoja yaani kila anayekosea basi ajue kuomba msamaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…