The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 1,124
- 1,457
Habari zenu wana jf leo ningependa watu ajue sifa za mwanaume halisi coz kuna mtu anajiita mwanaume ila hana sifa za kiume. Zifuatazo ni sifa za mwanaume wa kweli.
- Mwanaume wa kweli anakua na msismo yaani hayumbishwi
- Mwanaume wa kweli haongei sana yaani akiongea mara moja harudii na anaeleweka
- Mwanaume wa kweli lazima uwe unaishi kwako unategemewa na sio kwa wazazi kama Bado unaishi kwa wazazi usijiite mwanaume wewe unaitwa Mvulana.
- Mwanaume wa kweli lazima uwe na Maamuzi magumu.
- Mwanaume wa kweli lazima uwe ushampeleka mwanamke leba yaani uwe ushamtia mwanamke mimba uitwe baba.
- Mwanaume wa kweli ni mpambanaji' na hakati tamaa na hanung'uniki nung'uniki ovyo
- Mwanaume wa kweli hanuni
- Mwanaume wa kweli ni Jasiri,
