Sasa mwanaume hafanyi hivo....mwanaume hafanyi hivyo mkuuSio kwamba nidharau tunayowaonyesha ila hii hali ni baada ya nyinyi kutukataa wakati hamna mimba na kutuzungusha kweli, sasa mtu anaona bora akwachie mzigo wako au tuseme mshahara wa usumbufu kuanzia kutongozana hadi kwenye situation hiyo!
๐hivi wana nn wale
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃTaikon wa fasihi kawavuruga naona mnajibu mapigo sasa mmeamua mjitokeze wazi wazi
Aje atajibiwaNgoja tumuite M/kiti wetu ROBERT HERIEL aje ajibu uzi wako kwa niaba yetu.
Ety kuna mkaa juzi kasema ye kaweka kijiti ataki kuzaa ovyo ovyo.๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Single mothers mumeamua kutujia kwa njia ya Maridhiano??๐๐๐kuna wanaume ni wanaume....mpaka kuwa nae unaogopa unahisi matendo yako ya nyuma kuwa nae unamkosea sana....Yaan unawaza kwanini hakuwa yeye before....Be a man mkuu
Mwanaume hategemei mawazo ya Mwingine mkuuNgoja tumuite M/kiti wetu ROBERT HERIEL aje ajibu uzi wako kwa niaba yetu.
Wadada wameamua kufunguka 2023 hawataki tena kujibanabana...Well saidunakuta mwanaume ana gubu la kike balaa mwanaume anaongea maneno yanamtoka kama kala mavi ptyuuuuu mwanaume unaongeaje hvo humezi mateโฆ.SOME MEN SHOULD MANUP THEMSELVES
Sasa ni lazima ukimtaka mtu akukubali????Sio kwamba nidharau tunayowaonyesha ila hii hali ni baada ya nyinyi kutukataa wakati hamna mimba na kutuzungusha kweli, sasa mtu anaona bora akwachie mzigo wako au tuseme mshahara wa usumbufu kuanzia kutongozana hadi kwenye situation hiyo!