Aiseee mbombo ngafu. Wewe una siteres sio bure.
Acha nikomee hapa, mmeanza kuitana mashoga mnatukaniana wenza mwisho mtahamia kutukaniana wazazi wenu.
Haiwaongezei kitu, acheni hizo ishu aisee.
To yeye unafahamika kama ticha humu, huoni unatoa mfano mbaya.
Acheni hizo mambo aisee