MAWEED
Platinum Member
- Oct 11, 2016
- 4,502
- 15,870
HUYU NDIE MWANAUME[emoji67]
1. Anapenda maisha mazuri na anaamini kuyapata ni kufanyakazi kwa bidii
2. Anapenda mwanamke mwenye akili na utashi wa maisha ili amsaidie kutimiza ndoto zake na sio mwanamke mweupe, mrefu, mwenye chura na mwendo kama miss.
3. Hupitia wanaojiita warembo na wanaojisifu wanajua mambo on bed na kuwaacha na ufundi wao waendelee kuijenga nchi
4. Hapendi kuombwa hela ovyo ovyo na mpenzi wake kwani anaamini yeye sio ATM
Huchunguza familia anapokwenda au kutaka kumwoa mwanamke asije akaolewa yeye
5. Hapendi mwanamke mropokaji
6. Hapendi mwanamke mjuaji yaani kila kitu anajua mpaka kero
7. Anaamini mapenzi sio sex peke yake hivyo hata ukiwa fundi kama ivone chakachaka kama huna akili anakuacha tuu
8. Hapendi mwanamke mlaku . mtu hujivungi unakula kila kitu to the maximum mpaka kero
9. Ni adui ya mwanamke mvivu
10. Muda mwingi anafikiria future na positive thoughts .
[emoji67][emoji67]KAMA BOYFRIEND WAKO HANA HIZI UJUE IPO SIKU MTAOLEWA WOTE DUBAI[emoji67][emoji67]