Lazima ajue kushawishi (kumshawishi wanamke na akuamini)
Lazima atembee kiume; sio kwenda upande upande
Lazima ajue kubeba majukumu
Lazima awe na sauti kwa mkewe/ mpenzi wake
Lazima awe na msimamo
Havai vitu wanavyovaa wanawake
Hafanyi vitu wanavyofanya wanawake
Hakai karibu na kundi la wanawake
Lazima awe ni mtafutaji/mpambanaji
Haishi kwenye nyumba ya mwanamke
Haendi kumtembelea au kulala kwa mpenzi wake kwenye nyumba / chumba asichokilipia kodi; ata kama ni hotelini, hawezi kukaa kwenye chumba kilicholipiwa na mwanamke.

......umenikumbusha kitambo kidogo yale majarida ya zamani moja likiitwa BONGO(uhondo mtupu) na lingine TABASAMU(jarida la wajanja), Sasa Toledo la mwaka 96 lilitoka na tittle ya 'Sakata Uvunguni' ilikuja na picha kama hiyo ingawa yenyewe ilikuwa ya michoro....
Hapiki chapati
havai waka kumiliki vitu vya pink
Halii wala hapanick
Hana mziki wa zuchu kwenye device zake
Hapost wala kuview status
Hana madharau
Hasemi "khee" au "lol"
Macho mbele mita 100
Lazima ajue kushawishi (kumshawishi wanamke na akuamini)
Lazima atembee kiume; sio kwenda upande upande
Lazima ajue kubeba majukumu
Lazima awe na sauti kwa mkewe/ mpenzi wake
Lazima awe na msimamo
Havai vitu wanavyovaa wanawake
Hafanyi vitu wanavyofanya wanawake
Hakai karibu na kundi la wanawake
Lazima awe ni mtafutaji/mpambanaji
Haishi kwenye nyumba ya mwanamke
Haendi kumtembelea au kulala kwa mpenzi wake kwenye nyumba / chumba asichokilipia kodi; ata kama ni hotelini, hawezi kukaa kwenye chumba kilicholipiwa na mwanamke.
No. Sifa ya mwanaume rijali, ni Aonekane na jamii kuwa MWANAUME. Vigezo vya mleta mada vyahusika. Ukimuuliza mwanamke anaweza kudanganya kwa kuwa anaongwa pesa.