Sifa za Mwanaume halisi

Mwanamke kulia lazima na sio machozi tu


Sent from my TECNO KG7h using JamiiForums mobile app
 
Vipi kwa wanawake ambao wanatuumiza ?
Msamehe mtu yeyote ambaye amekusababishia maumivu au madhara.

Kumbuka kwamba kusamehe sio kwa wengine. Ni kwa ajili yako. Kusamehe sio kusahau. Ni kukumbuka bila hasira. Huweka huru nguvu zako, huponya mwili wako, akili na roho. Msamaha unafungua njia kuelekea mahali papya pa amani ambapo unaweza kuendelea licha ya kile ambacho kimekupata.
 
Kwani wewe mkuu hujawahi kumliza mwanamke? Au ulisha tubu?
 
Hapa nakuunga mkono ndugu


Sent from my TECNO KG7h using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…