DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,319
- 83,198
Kweli MkuuTimiza wajibu wako mengine mwachie Muumba wakoView attachment 2555617
Msamehe mtu yeyote ambaye amekusababishia maumivu au madhara.
Kumbuka kwamba kusamehe sio kwa wengine. Ni kwa ajili yako. Kusamehe sio kusahau. Ni kukumbuka bila hasira. Huweka huru nguvu zako, huponya mwili wako, akili na roho. Msamaha unafungua njia kuelekea mahali papya pa amani ambapo unaweza kuendelea licha ya kile ambacho kimekupata.
Sijaelewa,kwani tumewahi kuwa na ajenda ya Siri?Mpaka kila mtu ajue
Mpaka kila mtu ajue
OkSijaelewa,kwani tumewahi kuwa na ajenda ya Siri?
Sijaelewa,kwani tumewahi kuwa na ajenda ya Siri?
Umbea hacha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Namwelewa mkuuMuelewe mwenzako bana [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
We mzee umeanza kuzeeka..itabidi urudi gonja...!!kamwe haumuumizi mwanamke.
Kuwa mwangalifu sana unapomfanya mwanamke kulia, maana Mungu huhesabu machozi yake.
MWANAMKE
alitoka kwenye ubavu wa mwanaume
SI kutoka kwa miguu yake ili akanyagwe
SI kutoka kichwani mwake ili awe juu, bali kutoka ubavuni mwake ili muwe sawa.
Chini ya mkono ili alindwe na karibu na MOYO ili apendwe
Mabaharia tumeelewana?[emoji23]View attachment 2555591
Ila yule mwamba ndo mwamba kwangu aisee....respect to himJamani....[emoji23]View attachment 2555626
Wakati mwingine unachoweza kufanya ni tabasamu tu. Endelea na siku yako, zuia machozi na ujifanye kuwa uko sawa.We should all be nice to each other, haya mambo ya machozi ya mwanamke nini nini mmeongeza nyinyi kwa sababu mnazijua wenyewe.
Wakati mwingine unachoweza kufanya ni tabasamu tu. Endelea na siku yako, zuia machozi na ujifanye kuwa uko sawa.