Yeah man. You said it wellkamwe haumuumizi mwanamke.
Kuwa mwangalifu sana unapomfanya mwanamke kulia, maana Mungu huhesabu machozi yake.
MWANAMKE
alitoka kwenye ubavu wa mwanaume
SI kutoka kwa miguu yake ili akanyagwe
SI kutoka kichwani mwake ili awe juu, bali kutoka ubavuni mwake ili muwe sawa.
Chini ya mkono ili alindwe na karibu na MOYO ili apendwe
Mabaharia tumeelewana?[emoji23]View attachment 2555591
VpAt least [emoji120][emoji120][emoji120]
Lakini Mama zetu labda lakini hawa wanawake wa huku mtaani ukizubaa wanakuachia Msiba mzito lazima ucheze kwa stepKuwa mwangalifu sana unapomfanya mwanamke kulia, maana Mungu huhesabu machozi yake.View attachment 2555612View attachment 2555613
Poa, umeshindaje?
Timiza wajibu wako mengine mwachie Muumba wakoLakini Mama zetu labda lakini hawa wanawake wa huku mtaani ukizubaa wanakuachia Msiba mzito lazima ucheze kwa step
Mzuka leo unaniacheje mama[emoji847]Poa, umeshindaje?
How mkuu?Mzuka leo unaniacheje mama[emoji847]
Mpaka kila mtu ajueHow mkuu?