Sifa za mwanamke wa kimachame

Sifa za mwanamke wa kimachame

Status
Not open for further replies.

masanzu

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2013
Posts
605
Reaction score
219
Habari zenu wanajamvi naomba kufahamishwa sifa za wanawake wa kimachame MAZURI YAO NA MABAYA YAO asanteni naomba kuwasilisha.
 
ni wazuri but baadhi sijui wamekuwa trained au ni nini wanapenda sana pesa kuliko utu na uhai wa binadamu mwingine.... yaani kwa baadhi yao kuvua nguo sababu ya kupata cheo ofisini,or pesa yaani tuseme any fevour ambayo atakuwa tofauti na wengine mwili wake hautakuwa na thamani....
 
Habari zenu wanajamvi naomba kufahamishwa sifa za wanawake wa kimachame MAZURI YAO NA MABAYA YAO asanteni naomba kuwasilisha.

Uwe tayari kubeba sifa na tabia za kike ndipo utaishi nae vizuri.
 
Wabinafsi, wachoyo, wachapa kazi, wajanja sana, kwenye suala la pesa hawana mchezo, wanauza bidhaa sokoni chini ya vigunia vyao kuna mapanga na visu ni wapiganaji wazuri wanapochokozwa hasa na vibaka.

Dah!hii kali!
 
Hii si hatari kwa usalama?
 
Wanapenda pesa kuliko chochote, pia wana upendo wa dhati kama ukimthamini, kwa umbo wengi ni wazuri, mkichuma utajiri wako tayari kumuua mume!
 
yote wamesema hapo juu,pia uwe na kabati la barid eeh ili akuue vizuri
 
Kiiiruuuu...
Kama ilikuwa ni ndoa ..lazima uandae ma inteligenisisa na mwansheria ndo umweke ndani..
Ila kiboko yake ni mpare tu..huyo walishindwana...so kama wewe ni mpare mchukue tu hatokueza....ila uhakikishe ulinzi upo
 
uuuuuuuuwiiiiii nilitaka kujikaanga kwa mafuta yangu mwenyewe no siwezi nimeahilisha nasema sitaki tena
 
inategemea sana mtu na mtu. Unaweza kukutana na anayemuogopa Mungu maisha yakawa tofauti na ulivyowahi kusikia.
Mungu akusaidie mkuu

haa we unacheza wew uliza uambiwe kilichowakuta wenzio wamekufa wanaona hivi hivi
 
Kiiiruuuu...
Kama ilikuwa ni ndoa ..lazima uandae ma inteligenisisa na mwansheria ndo umweke ndani..
Ila kiboko yake ni mpare tu..huyo walishindwana...so kama wewe ni mpare mchukue tu hatokueza....ila uhakikishe ulinzi upo

Hahaaaaa!
Kweli itara ni chatu, umenichekesha mdau!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom