Sifa za mwanamke wa kifipa.

Sifa za mwanamke wa kifipa.

tisa desemba

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Posts
434
Reaction score
115
wadau, kwa wanaowajua wanawake wa kifipa plz plz naombeni mnipe japo kwa uchache sifa zao..................mwenzenu nimenasa nataka kutangaza ndoa. Sitanii.
 
wadau, kwa wanaowajua wanawake wa kifipa plz plz naombeni mnipe japo kwa uchache sifa zao..................mwenzenu nimenasa nataka kutangaza ndoa. Sitanii.
mkuu unataka kuoa mtu au kabila? Stereotyping?
 
Naoa mtu, ila uzoefuunaonesha kuwa kuna uhusiano mkubwa sana kati ya kabila (jamii) flani na tabia zao! mfano kabila flani wabahili, kabila flani wazinzi, kabila flani wana wivu sana n.k
 
Naoa mtu, ila uzoefuunaonesha kuwa kuna uhusiano mkubwa sana kati ya kabila (jamii) flani na tabia zao! mfano kabila flani wabahili, kabila flani wazinzi, kabila flani wana wivu sana n.k

Mkuu sasa hivi wahusika wataanza kukutukana, subiria uone!

Jiandae kwa gubu, wivu na makelele makelele. Mfuko wako uwe mzuri, vya pombe hao kushinda wanawake wa kichaga
 
jiandae kupokea ukoo wao mzima kwa gia ya kuja kusalimia, ndugu akija kusalimia anakata hata miezi.
Nawasifu Kwa uvumilivu na uelewa! Na ni wachapakazi pia. Hawana makuu, shida ni hapo kwenye ndugu kuamia nyumbani kwenu hasa kama unaishi jirani na anakotokea.
Jiandae pia kupikiwa mrenda, chikanda, nswa aka kumbikumbi, mabumunda n.k.
Jiandie pia kwenye mlolongo wa salamu, kwa kifupi ukikutana na baba mkwe inatakiwa usalimie kila kitu ....sahani, bakuli n.k
 
Nasubiri comment ya KATAA NDOA....

Oa tu mkuu kabila sio ishu cha msingi usibebe kama unahisi kuna mambo mtarekebishana ndani ya ndoa hilo huwa halipo
 
Ukimsaliti anahamishia chululu yako makalioni.
Utakuwa unakojoa kinyume nyume.
 
Back
Top Bottom