Sifa Za Mwanamke Mwenye Ubora Na Kiwango Cha Juu

Sifa Za Mwanamke Mwenye Ubora Na Kiwango Cha Juu

  • anajieshimu
  • Msafi
  • anayo mahusiano mazuri na wazazi wake sana sana Baba
  • Anafanya mazoezi na kula vizuri
  • Anapenda watoto
  • Sio mbea
  • Avuti sigara,bangi,shisha na kunywa pombe
  • Sio king'ang'anizi
  • Anapendeza muda wote sio tu wakati wa kwenda out
  • Kalala na wanaume wachache na anatembea na mtu ambaye wako tu na mahusiano
  • anapenda kupika
  • anajiamini kuwa yuko bora bila make up
  • anasupport malengo yako
  • Mcheshi na anajua kuongea na watu wa kila aina


Je sifa gani nimesahau kuongeza?
Sifa zote zipo njema hapo ila bila akili na uzoefu huwezi pata mwanamke wa hivyo kizembe😅
 
Ni yule anayeweza kusimama kwenye nafasi yake, nafasi ya mwanaume. Kichwa cha familia katika nyanja zote. Yule anayetekeleza wajibu wake kwa kupanga style ya maisha, kumtunza na kumuongoza mke wake na watu wa nyumba yake
uzi ufungwe hitimisho hili hapa
 
Back
Top Bottom