Kuna watu wanapenda sana kujiita watoto wa mjini! Wana jamii wenzangu embu tuchambue sifa za mtoto wa mjini. Binafsi sijui mtoto wa mjini ni mtu wa aina gani. Nasikia tu watu wakijiita au kuitwa mtoto wa mjini!!
Hivi ukiwa mtoto wa mjini ndo unakua na sifa zipi? Au unatakiwa uwe na sifa zipi ili uitwe mtoto wa mjini?
Kuna watu wanapenda sana kujiita watoto wa mjini! Wana jamii wenzangu embu tuchambue sifa za mtoto wa mjini ndo mtu wa aina gani! Binafsi sijui mtoto wa mjini ni mtu wa aina gani. Nasikia tu watu wakijiita "mi mtoto wa mjini"
Hivi ukiwa mtoto wa mjini ndo unakua na sifa zipi? Au unatakiwa uwe na sifa zipi ili uitwe mtoto wa mjini?
Hujui kulima,mtu wa kula mabaga,chipsi,chai kavu,uongo mwingi kazi kidogo,kila kitu unajijua hata Donald Trump mlisoma nae,utapelitapeli,majisifu,ujanjaujanja,Mzee wa michongo fake na halali nk