Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,900
Mshabiki wa Ukawa
1.Msomi sana mwenye uelewa wa Dunia.
2.Anajua dunia inaenda wapi.
3.Anajua mgogoro wa Rusia na Marekani ni wa kibiashara na kiuchumi na si aggressiveness over Ukraine.
4.Anajua viongozi wanaficha hela nje ya nchi kwa kujidai wao ni wawekezaji wa kizungu kumbe ni watanzania (ndio maana nchi yetu inaitwa bongo, yaani watu wamekalia wizi tu hawafanyi Kazi)
5.Anajua uagizaji wa bidhaa, Madawa,ving'amuzi,simu,bodaboda,saa,nguo,makochi, samaki,nyama na matunda. Unawapa mataifa ya nje faida kubwa sana ukilinganisha na vimsaada wanavyotupa.
6.Anajua mataifa yanachukua malighafi bila kulipa kodi hata shilling moja ili kufisha siri za ufisadi kwa viongozi.
7.Anajua bila umeme wa uhakika na nafuu hakuna Mapinduzi ya viwanda Tanzania.
8.Anajua ISIS,boko haramu,alshababu ni propaganda tu za mataifa ya magharibi ili wapate mafuta ni exchange ya silaha.
9.Anajua kwasasa uchumi wa bahari, I mean usafirishaji wa bidhaa na meli unaendeshwa kwa mtutu wa bunduki 10.Anajua Tanzania bila ufisadi itaongoza bara la africa kwa uchumi imara kabisa.
11. Trans Africa railway kutoka Dar es salaam to Congo Brazzaville utafanya Dar es salaam kuwa dubai ya Africa.
12. Anajua kabisa kilimo si mkombozi wa MTANZANIA bali elimu bora ya bei nafuu itakamwezesha kutambua fursa zinazomzunguka.
13.Anajua kabisa watanzania wengi wamesoma lakini hawana exposure.
14. Wana uwezo mzuri wa kufikiri, lakini wanapenda kufikiriwa na Viongozi wao.
15. Hodari wa kula MATAPISHI YAO.ao
16. Wasomi ambao wanadanganyika kirahisi.
17. Wanauwezo kuwafichua Mafisadi wa vyama vingine, lakini wao wanaunga mkono kuongozwa na Mfalme wa mafisadi.
Ongezeeni nyingine

Yote umesema sawa kabisa, lakini kwa kutaka mabadiliko kwa kupitia kwa lowassa hilo ndio nakataa kabisa, Lowassa ndio mmoja wa waliyoyatengeneza hayo matatizo, eti Leo ndio awe tiba?
Sikubali kabisa hilo
Lol! Sasa umeamua kuwa pale pale
Yote umesema sawa kabisa, lakini kwa kutaka mabadiliko kwa kupitia kwa lowassa hilo ndio nakataa kabisa, Lowassa ndio mmoja wa waliyoyatengeneza hayo matatizo, eti Leo ndio awe tiba?
Sikubali kabisa hilo
Usipokubali wewe mke wako au watoto au ndg zako watakubaliana na mabadiliko kupitia Lowassa
Wewe ni pacha wangu ktk hili.Yote umesema sawa kabisa, lakini kwa kutaka mabadiliko kwa kupitia kwa lowassa hilo ndio nakataa kabisa, Lowassa ndio mmoja wa waliyoyatengeneza hayo matatizo, eti Leo ndio awe tiba?
Sikubali kabisa hilo
Yes hiyo ndio demokrasia, wana uhuru maana nchi pia ni yao na wao
Tembea na nyakati usikubali kuachwa nyuma ndo maana selikari iliamua kwa sasa tunahitaji digitali na analogia ikazimwa ni kwakuwa iliona mfumo wa analogia hautaweza kwendana na hali ya kidunia ya sasa. Kalia ccm na Magufuli wako tu
Ni bora kura yangu ipotee tu, lakini kwa kumpa aliyeaisisi matatizo yetu haiwezekani kabisa