Sifa za mshabiki wa UKAWA

Sifa za mshabiki wa UKAWA

Watanzania bado tunahitaji mabadiliko ya aina nyingi, hata demokrasia ya kweli ni mabadiliko pia
 
Mshabiki wa UKAWA

1.Msomi sana mwenye uelewa wa Dunia.

2.Anajua dunia inaenda wapi.

3.Anajua mgogoro wa Rusia na Marekani ni wa kibiashara na kiuchumi na si aggressiveness over Ukraine.

4.Anajua viongozi wanaficha hela nje ya nchi kwa kujidai wao ni wawekezaji wa kizungu kumbe ni watanzania (ndio maana nchi yetu inaitwa bongo, yaani watu wamekalia wizi tu hawafanyi Kazi)

5.Anajua uagizaji wa bidhaa, Madawa,ving'amuzi,simu,bodaboda,saa,nguo,makochi, samaki,nyama na matunda. Unawapa mataifa ya nje faida kubwa sana ukilinganisha na vimsaada wanavyotupa.

6.Anajua mataifa yanachukua malighafi bila kulipa kodi hata shilling moja ili kufisha siri za ufisadi kwa viongozi.

7.Anajua bila umeme wa uhakika na nafuu hakuna Mapinduzi ya viwanda Tanzania.

8.Anajua ISIS,boko haramu,alshababu ni propaganda tu za mataifa ya magharibi ili wapate mafuta in exchange ya silaha.

9.Anajua kwasasa uchumi wa bahari, I mean usafirishaji wa bidhaa na meli unaendeshwa kwa mtutu wa bunduki.

10.Anajua Tanzania bila ufisadi itaongoza bara la africa kwa uchumi imara kabisa.

11. Trans Africa railway kutoka Dar es salaam to Congo Brazzaville itaifanya Dar es salaam kuwa dubai ya Africa.

12. Anajua kabisa kilimo si mkombozi wa MTANZANIA bali elimu bora ya bei nafuu itakayomwezesha mtanzania kutambua fursa zinazomzunguka.

13.Anajua kabisa watanzania wengi wamesoma lakini hawana exposure.

Ongezeeni nyingine

AND THE VICE VERSA IS TRUE Upo hapo?
 
Na wengi wao ni desparate, wako pembeni ya mfumo au mfumo umewajeruhi kwa namna moja au nyingine.
 
Wengi wao wanamihemiko ya ajabu sana jaribu tu kutofautiana nao kifikra uone utakavyooitwa msaliti hakika aliyesema ni nyumbu wala hakukosea.
 
Wanaunga mkono kila wanachoambiwa na dikteta mbowe bila kutafakari kwa kina
 
Mshabiki wa UKAWA

1.Msomi sana mwenye uelewa wa Dunia.

2.Anajua dunia inaenda wapi.

3.Anajua mgogoro wa Rusia na Marekani ni wa kibiashara na kiuchumi na si aggressiveness over Ukraine.

4.Anajua viongozi wanaficha hela nje ya nchi kwa kujidai wao ni wawekezaji wa kizungu kumbe ni watanzania (ndio maana nchi yetu inaitwa bongo, yaani watu wamekalia wizi tu hawafanyi Kazi)

5.Anajua uagizaji wa bidhaa, Madawa,ving'amuzi,simu,bodaboda,saa,nguo,makochi, samaki,nyama na matunda. Unawapa mataifa ya nje faida kubwa sana ukilinganisha na vimsaada wanavyotupa.

6.Anajua mataifa yanachukua malighafi bila kulipa kodi hata shilling moja ili kufisha siri za ufisadi kwa viongozi.

7.Anajua bila umeme wa uhakika na nafuu hakuna Mapinduzi ya viwanda Tanzania.

8.Anajua ISIS,boko haramu,alshababu ni propaganda tu za mataifa ya magharibi ili wapate mafuta in exchange ya silaha.

9.Anajua kwasasa uchumi wa bahari, I mean usafirishaji wa bidhaa na meli unaendeshwa kwa mtutu wa bunduki.

10.Anajua Tanzania bila ufisadi itaongoza bara la africa kwa uchumi imara kabisa.

11. Trans Africa railway kutoka Dar es salaam to Congo Brazzaville itaifanya Dar es salaam kuwa dubai ya Africa.

12. Anajua kabisa kilimo si mkombozi wa MTANZANIA bali elimu bora ya bei nafuu itakayomwezesha mtanzania kutambua fursa zinazomzunguka.

13.Anajua kabisa watanzania wengi wamesoma lakini hawana exposure.

Ongezeeni nyingine

14. Ni Mwanachama wa Group la WANA BIDII
 
Wachafu wachafu,wanakula powder,wengi wanaamini lowasa akiwa raisi maisha yao yatabadilika onspot,yaani lowasa atawaletea mahitaji yao kwao wao wakiwa wamekaa wamestarehe,vilaza.wana jazba.
 
Mshabiki wa UKAWA

1.Msomi sana mwenye uelewa wa Dunia.

2.Anajua dunia inaenda wapi.

3.Anajua mgogoro wa Rusia na Marekani ni wa kibiashara na kiuchumi na si aggressiveness over Ukraine.

4.Anajua viongozi wanaficha hela nje ya nchi kwa kujidai wao ni wawekezaji wa kizungu kumbe ni watanzania (ndio maana nchi yetu inaitwa bongo, yaani watu wamekalia wizi tu hawafanyi Kazi)

5.Anajua uagizaji wa bidhaa, Madawa,ving'amuzi,simu,bodaboda,saa,nguo,makochi, samaki,nyama na matunda. Unawapa mataifa ya nje faida kubwa sana ukilinganisha na vimsaada wanavyotupa.

6.Anajua mataifa yanachukua malighafi bila kulipa kodi hata shilling moja ili kufisha siri za ufisadi kwa viongozi.

7.Anajua bila umeme wa uhakika na nafuu hakuna Mapinduzi ya viwanda Tanzania.

8.Anajua ISIS,boko haramu,alshababu ni propaganda tu za mataifa ya magharibi ili wapate mafuta in exchange ya silaha.

9.Anajua kwasasa uchumi wa bahari, I mean usafirishaji wa bidhaa na meli unaendeshwa kwa mtutu wa bunduki.

10.Anajua Tanzania bila ufisadi itaongoza bara la africa kwa uchumi imara kabisa.

11. Trans Africa railway kutoka Dar es salaam to Congo Brazzaville itaifanya Dar es salaam kuwa dubai ya Africa.

12. Anajua kabisa kilimo si mkombozi wa MTANZANIA bali elimu bora ya bei nafuu itakayomwezesha mtanzania kutambua fursa zinazomzunguka.

13.Anajua kabisa watanzania wengi wamesoma lakini hawana exposure.

Ongezeeni nyingine

14.Vibaka
15.Hawajitambui.
16.Hawajui kwa nini wanamshabikia Lowasa.
17.Wagomvi na wabishi
18.Hawataki kujituma kibiashara,kilimo au kazi
19.Kutwa wanashinda kwenye pool table wakingojea mabadiliko
20.Wanapenda maandamano ili wapore.
21.Wanawachukia sana wasomi na watu wastaarabu
22.Ukikutana nao hata kama una jezi ya Yanga wanakukaba na kukupora kwa kisingizio cha kuichukia ccm.
23.Wengi walishafungwa jela au kuwekwa ndani kwa uhalifu mbalimbali
24.Hawana maamuzi ya busara.
25.Hawapendi kusikiliza hoja za wengine.
26.Wengi hawaheshimu wazazi wao.
27.wengi wana malezi ya upande mmoja.
28.Walevi wa pombe kali.
29.malofa.
30.Wa.p.u.m.b.a.v.u
Ongezea....
 
Back
Top Bottom