Kama wanywa viroba na mateja na vibaka wanakuzidi wanaona mbali kukuzidi basi wewe utakuwa ni nusu marehemu labda
Jifunze kuheshimu mawazo ya wengine, na ujifunze kuwa sikila asiyekubaliana na lowassa ni ccm, kama serikali ingekuwa na mawazo kama yako leo ingekuwa hakuna upinzani, wewe kama unaona sawa kwa hilo ni juu yako, lakini huwezi kulazimisha kila mtu afanane mawazo na wewe
Nilidhani utakuja Na sifa za shabiki wa CCM.
Wako Tayari kubadirika na kusahau
Wana Amini yeyote anaye jiunga na Ukawa basi sio fisadi Tena
Wana Amini Fisadi ni Ccm pekee
Wana Amini Mabadiriko yanaletwa na mwana ccm aliye bobea
Wana Amini mtoto wa nyoka hang'ati
Jifunze kuheshimu mawazo ya wengine, na ujifunze kuwa sikila asiyekubaliana na lowassa ni ccm, kama serikali ingekuwa na mawazo kama yako leo ingekuwa hakuna upinzani, wewe kama unaona sawa kwa hilo ni juu yako, lakini huwezi kulazimisha kila mtu afanane mawazo na wewe
Ni bora kura yangu ipotee tu, lakini kwa kumpa aliyeaisisi matatizo yetu haiwezekani kabisa
Khaa!! Na hii ndiyo sifa kuu juu ya Imani ya mwanaukawa. Utadhania anawajua hao ndugu zako :glasses-nerdy:Usipokubali wewe mke wako au watoto au ndg zako watakubaliana na mabadiliko kupitia Lowassa
Khaa!! NA hii nayo ni sifa yao pia. hasa wanapofilisika kifikra :glasses-nerdy:kwenda tu we gamba
14. Wana uwezo mzuri wa kufikiri, lakini wanapenda kufikiriwa na Viongozi wao.
15. Hodari wa kula MATAPISHI YAO.ao
16. Wasomi ambao wanadanganyika kirahisi.
17. Wanauwezo kuwafichua Mafisadi wa vyama vingine, lakini wao wanaunga mkono kuongozwa na Mfalme wa mafisadi.
Khaa!! Na hii ndiyo sifa kuu juu ya Imani ya mwanaukawa. Utadhania anawajua hao ndugu zako :glasses-nerdy:
Sijawahi kumkubali magufuli wala lowassa, ccm ni katika shetani nalotamani lifutike duniani kabisa, nachopingana nacho kwa sasa, kuwatumia wale wale waliotusababishia matatizo hayo hayo,
Mkuu kupitia post hii utapata sifa kibao za wana ukawa ambazo ujazitaja subiriii... .......
Khaa!! Kila mtu anataka mabadiliko mazuri kila siku. Lakini anataka mabadiliko positive na si mabadiliko hayo ambayo hadi leo mimi na wewe hatujui kesho itakuwaje. Jitendee haki na kisha tumia akili kidogo KUPENDA MABADILIKO SI KUPENDA UKAWA/LOWASSA :glasses-nerdy:Siamini kama ndg zako wote wanaweza kukengeuka kiasi hicho hadi kuanza kushabikia ccm kwa sasa. Kama utaweza kafanye random sampling ya watu kumi au panda Hiace hoji au katika familia zenu huko utagundua kwamba yawezekana wewe pia ni kikwazo hata kwa wengine katika mabadiliko ya kweli.
Yote umesema sawa kabisa, lakini kwa kutaka mabadiliko kwa kupitia kwa lowassa hilo ndio nakataa kabisa, Lowassa ndio mmoja wa waliyoyatengeneza hayo matatizo, eti Leo ndio awe tiba?
Sikubali kabisa hilo
Khaa!! Kila mtu anataka mabadiliko mazuri kila siku. Lakini anataka mabadiliko positive na si mabadiliko hayo ambayo hadi leo mimi na wewe hatujui kesho itakuwaje. Jitendee haki na kisha tumia akili kidogo KUPENDA MABADILIKO SI KUPENDA UKAWA/LOWASSA :glasses-nerdy:
Somo halijakukolea unahitaji Darasa