Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,669
- 167,715
Maana eti umesema kuwa huo ni uthenge
Kunywa mbona ni poa tu mi mwanaume asokunywa weka mbali na mie,uthenge ni kuachwa home af arudi night mbaya tena kabeba roho tu nampokea na ma i lavyu aaah haipo hiyo labda aje na kitu cha kunipoza, hata kuku mzima af.asingizie alichelewa alikua anamngoja kuku aive kidogoooo ntalegea.japo ntakua navunja.mifupa ya kuku huku natukana kimoyo moyo
eti tisa nite mtu kabeba pombe na roho yake nampokea kwa bashasha aaaah qummamae siwezi mie nkifanya hvo akimbie tu make ntakachomfanya atajuta
Hekima za wamama zinawaisha wanawake...
Hapo kwake, Wewe umekaribishwa tuu. Nyumba aijua yeye. Ataingia na humfanyi lolote zaidi ya kubana papuchi na kununa!