Sifa za mama wa Kiafrika

Sifa za mama wa Kiafrika

Mother = True Love = Mother = Life .. whatever they say..utabaki kuwa Mama... I Love You Mum ..RIP
 
A nice article i ever read here at jf ,real your smart
 
Huyu mama mwenye sifa hizi lazima atakuwa ni mwaJ au Mamndenyi
Ha ha haaaaaa! Sifa namba 7. ........If you accidentally break utensils made of glass she reacts with "Vunja Yote Umalize"
na namba 17. ......... when you lose money and she says “shika hizi nyingine pia ukapoteze!"Zimenikumbashambali! Lol!

Au ukifanya kosa aseme, ngoja baba yako arudi.... mzee akirudi unajua tu hali si shwari tena!
 
Vipi kuhusu ile ya "Hivi vyombo ni vya wageni"
ahahaaa ameisema bwana...wamama wetu bwamama wetu bwana....dah i wish ningekuwa na mama kwa kweli dah dunia hii? sijui kwanini sikufa mimi
 
Ha ha haaaaaa! Sifa namba 7. ........If you accidentally break utensils made of glass she reacts with "Vunja Yote Umalize"
na namba 17. ......... when you lose money and she says "shika hizi nyingine pia ukapoteze!"Zimenikumbashambali! Lol!

je kula pilau kwa jirani? ahaaaa pilau la zamani lilikuwa adimu mtu unalifata hata mtaa wa pili.. mtaani kwetu ulikuwa ukionekana na watoto wenzako umetumwa mchele loh siku hiyo wanakuja kucheza kwenu hadi wale ahaaaaa! basi mimi nilikuwa nawaletea noma ila kuna makauzu wanabanana hadi kieleweke ...kwi kwi kwi ! rip my sweet mamy!
 
Ha ha haaaaaa! Sifa namba 7. ........If you accidentally break utensils made of glass she reacts with "Vunja Yote Umalize"
na namba 17. ......... when you lose money and she says “shika hizi nyingine pia ukapoteze!"Zimenikumbashambali! Lol!

je kula pilau kwa jirani? ahaaaa pilau la zamani lilikuwa adimu mtu unalifata hata mtaa wa pili.. mtaani kwetu ulikuwa ukionekana na watoto wenzako umetumwa mchele loh siku hiyo wanakuja kucheza kwenu hadi wale ahaaaaa! basi mimi nilikuwa nawaletea noma ila kuna makauzu wanabanana hadi kieleweke ...kwi kwi kwi ! rip my sweet mamy!
 
je kula pilau kwa jirani? ahaaaa pilau la zamani lilikuwa adimu mtu unalifata hata mtaa wa pili.. mtaani kwetu ulikuwa ukionekana na watoto wenzako umetumwa mchele loh siku hiyo wanakuja kucheza kwenu hadi wale ahaaaaa! basi mimi nilikuwa nawaletea noma ila kuna makauzu wanabanana hadi kieleweke ...kwi kwi kwi ! rip my sweet mamy!
Smile usinikumbushe zamani hizo za watoto kupenda wali. Ha ha haaaa! Mama akipika wali watoto hamlazimishwi kwenda kuoga. Sio vitoto vyetu vya siku hizi vya kulazimisha kula. Kikiona wali kinataka chips kikiona chips kinakuambia kinataka burger za Bonjour!
 
Last edited by a moderator:
ahahaaa ameisema bwana...wamama wetu bwamama wetu bwana....dah i wish ningekuwa na mama kwa kweli dah dunia hii? sijui kwanini sikufa mimi

Ooh kumbe kasema...

Mungu ndiye anayepanga nani aje dunia wakati gani, na amuondoe duniani wakati upi...
Safari ya mama ilitimia na nafsi yake kurejea kwake aliyeiumba, yaani muda uliopangwa kwake ulifika...
Usiuzunike sana moyoni mwako, zaidi muombe Mungu akupe faraja na akusaidie nawe utimize uliopangiwa kutimiza...
My dear, jivunie vile mama Smile alivyokutunza na wewe kuwa hivyo ulivyo hii leo!!!
 
Smile usinikumbushe zamani hizo za watoto kupenda wali. Ha ha haaaa! Mama akipika wali watoto hamlazimishwi kwenda kuoga. Sio vitoto vyetu vya siku hizi vya kulazimisha kula. Kikiona wali kinataka chips kikiona chips kinakuambia kinataka burger za Bonjour!
ahaaaa madogo ya digital ! enzi zetu ilikuwa haibaki hata punje moja kwenye sahani! sema hata hivo pilau limeshuka thamani bwana ..pilau la siku hizi unakuta linapikwa hadi jtatu bwana!enzi zetu kusikia harufu ya pilau ilikuwa ni kwa shughuli maalum..na lina watu special wa kulipika ! soi sasa kila mtu anamka leo napika pilau pilau linapikwa usiku? damn it!cc Mentor
 
Last edited by a moderator:
Ooh kumbe kasema...

Mungu ndiye anayepanga nani aje dunia wakati gani, na amuondoe duniani wakati upi...
Safari ya mama ilitimia na nafsi yake kurejea kwake aliyeiumba, yaani muda uliopangwa kwake ulifika...
Usiuzunike sana moyoni mwako, zaidi muombe Mungu akupe faraja na akusaidie nawe utimize uliopangiwa kutimiza...
My dear, jivunie vile mama Smile alivyokutunza na wewe kuwa hivyo ulivyo hii leo!!!
acha tu my best! ishakula kwangu hivo! majondhiiiiiiiii wewe! thikia tu!
 
Kuwa na moyo mkuu rafiki yangu...duniani hapa sio kwetu...mama alitangulia lakini wewe unajukumu la kufuata her footsteps kuanzia pale alipoishia and make her proud!!
 
ahaaaa madogo ya digital ! enzi zetu ilikuwa haibaki hata punje moja kwenye sahani! sema hata hivo pilau limeshuka thamani bwana ..pilau la siku hizi unakuta linapikwa hadi jtatu bwana!enzi zetu kusikia harufu ya pilau ilikuwa ni kwa shughuli maalum..na lina watu special wa kulipika ! soi sasa kila mtu anamka leo napika pilau pilau linapikwa usiku? damn it!cc Mentor

Mate Smile, umenifurahisha sana. Umenikumbusha kaka yangu, Frank, alikuwa akipita mahali akanusa harufu ya pilau lazima amuulize mama, "Mama, kwa hawa leo kuna kirimasi? (akimaanisha Christmas)"

Nashangaa siku hizi pilau linapikwa bila kutwanga vitunguu saumu eti! Halitengenezewi ule mchuzi mchafu ule...daah. Kweli dem days were good. Yani siku ya pilau ni linaanza kupikwa mkitoka kanisani (sunday school) hawa wanapembua mchele, wale wanamenya vitunguu, Mentor hapa nangojea na ki-mchi changu tayari kutwanga yani natwanga mpaka mama ananiambia atanipa firigisi (firigisi lilikuwa linapewa mtoto aliyefanya kazi zaidi wakati wa mapishi).

BTW, Smile, hii thread inahusu nini kwani maana umenibakia huku katikati hata sijui maudhui yake.
 
ahahaaa nimekuita kwa sababu sometimes huwa nahisi tuna vitu flani in common bwana...si unaona ulivochambua mambo ya pilau?
siku hizi piau linapikwa kila siku eti?
na wewe ulikuwa mtata aisee unatwanga vitunguu swaumu hadi vinakuwa maji kisa firigisi? ahaaaa mi mazangu alikuwa anatupa miguu firigisi hadi mezani tena firigisi ni ya baba!
ila mimi bwana hadi kesho napenda pilau sijui kwa nini...haliniishi hamu hili dude jamani
 
Mate Smile, umenifurahisha sana. Umenikumbusha kaka yangu, Frank, alikuwa akipita mahali akanusa harufu ya pilau lazima amuulize mama, "Mama, kwa hawa leo kuna kirimasi? (akimaanisha Christmas)"

Nashangaa siku hizi pilau linapikwa bila kutwanga vitunguu saumu eti! Halitengenezewi ule mchuzi mchafu ule...daah. Kweli dem days were good. Yani siku ya pilau ni linaanza kupikwa mkitoka kanisani (sunday school) hawa wanapembua mchele, wale wanamenya vitunguu, Mentor hapa nangojea na ki-mchi changu tayari kutwanga yani natwanga mpaka mama ananiambia atanipa firigisi (firigisi lilikuwa linapewa mtoto aliyefanya kazi zaidi wakati wa mapishi).

BTW, Smile, hii thread inahusu nini kwani maana umenibakia huku katikati hata sijui maudhui yake.

Ha ha haaaaaaaaaaa! Mentor umenichekesha sana kumbe ndio maana Smile kakuita.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom