amu umepata mpemba nini? maana hizi aVATAR ZAKO?mie size 45 bana size 22 hazinitoshi
kuna mmoja ananibananisha pm kwa avatar hiyo loooo mwenzako nilikuwa kwenye mfungo ikabidi niiweke hivo loo mie nampare wapemba mambo ya save the engine kill the driver mie siyawezi atiiiamu umepata mpemba nini? maana hizi aVATAR ZAKO?
kwi kwi kwi kwiii !kuna mmoja ananibananisha pm kwa avatar hiyo loooo mwenzako nilikuwa kwenye mfungo ikabidi niiweke hivo loo mie nampare wapemba mambo ya save the engine kill the driver mie siyawezi atiii
kwi kwi kwi kwiii !
Af wali wenyewe uwe wa maharage .Jamani watoto wa leo wana raha sana yaani wanachagua vyakula mpaka unasikia hasira.Smile usinikumbushe zamani hizo za watoto kupenda wali. Ha ha haaaa! Mama akipika wali watoto hamlazimishwi kwenda kuoga. Sio vitoto vyetu vya siku hizi vya kulazimisha kula. Kikiona wali kinataka chips kikiona chips kinakuambia kinataka burger za Bonjour!
Af wali wenyewe uwe wa maharage .Jamani watoto wa leo wana raha sana yaani wanachagua vyakula mpaka unasikia hasira.
Tena nawaambia wenzangu mnaiwa kwenu nendeni ili mradi wasiwepo saa ya msosi. Miaka ya huko nyuma kidogo kwa hapa dar ilikua kula wali ni kama chakula cha anasa vile. Ili uupate mchele tena mdundiko utakaa foleni weweee kwenye duka la ushirika na wakipimiwa 10 tu mnaambiwa mchele umeisha basi mnachukua unga wa yanga na kurudi home kumbuka hapo toka saa tano asubui uko kwenye foleni.Nasikia ulikuwa ukipikwa wali maharage huchezi mbali na jikoni lol! kwi kwi kwi...kila dakika chache unaulizia, "Mama chakula tayari?"
Tena nawaambia wenzangu mnaitwa kwenu nendeni ili mradi wasiwepo saa ya msosi. Miaka ya huko nyuma kidogo kwa hapa dar ilikua kula wali ni kama chakula cha anasa vile. Ili uupate mchele tena mdundiko utakaa foleni weweee kwenye duka la ushirika na wakipimiwa 10 tu mnaambiwa mchele umeisha basi mnachukua unga wa yanga na kurudi home kumbuka hapo toka saa tano asubui uko kwenye foleni.
ahahahahahaha utoto kazi sana. Ukikumbuka unacheka sana kwa bahati mbaya watoto wetu hawana cha kusimulia lbd hii mitandao. Basi huwa nikikaa na wanangu nikiwasimulia mambo mbali mbali ya zamani wanacheka sana.hahahahaha lol! Kumbe ulikuwa mchoyo eeh! 🙂🙂 hukutaka kabisa marafiki waje kudowea msosi wenu.
ahahahahahaha utoto kazi sana. Ukikumbuka unacheka sana kwa bahati mbaya watoto wetu hawana cha kusimulia lbd hii mitandao. Basi huwa nikikaa na wanangu nikiwasimulia mambo mbali mbali ya zamani wanacheka sana.
Kweli wanakosa mengi hawajui kupungukiwa, tena hawajui hata kutembea kwa miguu umbali mrefu kwa sababu hakuna usafiri eneo hilo. Maisha yale ya huko nyuma kidogo yalikua na mafundisho mengi, mtoto wa kike huambiwi kupika bali unajua wazi kua shughuli za jikoni zinakuhusu na kutafuta mboga ni wajibu wako .We acha tu yaani utoto wa mwaka 47 ulikuwa na raha zake nyingi sana. Hawa watoto wa dot.com wanakosa mengi sana.
BAK nadhani siku hizi kuna kitu kimebadilika aidha ni ladha ya vyakula au mafuta tunayoyatumia. Ladha ya wali maharage ya enzi zetu ni tofauti kabisa na ya siku hizi Ablessed na Smile shahidi yangu. No wonder watoto wa kileo hawana habari nao kabisa.Nasikia ulikuwa ukipikwa wali maharage huchezi mbali na jikoni lol! kwi kwi kwi...kila dakika chache unaulizia, "Mama chakula tayari?"
Hahahahaha ni kweli mwaJ ladha ya wali maharage tena yaliyoungwa kwa Nazi Enzi hizo ilikua bomba sana lkn kwa bahati mbaya ladha ile haipo tena kama mnakumbuka hata ladha ya mkate wa boflo ilikua bomba sijui nini kimebadilika siku hizi kila kitu kina ladha ya tofauti hata maziwa sio yale.....Labda mwaJ lakini mie nikila wali na maharage hata miaka hii bado utamu ni ule ule kama enzi za mwaka 47 kwi kwi kwi kwi....mie enzi hizo wali na maharage nilikuwa nakula tu wala sishibi kwi kwi kwi kwi naomba kuongezewa tu 🙂🙂🙂 ngoja mashahidi wako akina Ablessed na Smile waje wathibitishe hili.
Hahahahaha ni kweli mwaJ ladha ya wali maharage tena yaliyoungwa kwa Nazi Enzi hizo ilikua bomba sana lkn kwa bahati mbaya ladha ile haipo tena kama mnakumbuka hata ladha ya mkate wa boflo ilikua bomba sijui nini kimebadilika siku hizi kila kitu kina ladha ya tofauti hata maziwa sio yale.