Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 6,750
- 14,529
Umechanganya sana.Huo ndio ukweli wenyewe; and you will be disadvantaged mkikutana na mabeberu ambayo trained kwenye majadiliano.
Hamna huo uwezo kwa kuwasoma tu
Mwanasheria ni mtu yoyote aliyesomea sheria, ila ku practice ndio lazima uwe wakili, na hata ukiwa wakili sio lazima ku practice mahakamani, kuna law firms kibao hawafanyi litigations na hawaendi mahakamani!. Legal issues zina so many fronts na sio issues za mahakamani only.Mfano wewe sio mwanasheria kwa sababu ya kusoma sheria duniani; you have to practice law mahakamani ndio uitwe mwanasheria.
Duh...!, kiukweli Tanzania kazi ipo!. Hivi hujui taasisi za fedha na uchumi uko chini ya waziri gani?!.Sasa Mwigulu hajawai ku-practice taaluma yake ya Uchumi pamoja na PhD yake, muda mwingi ameutumia kwenye siasa na kufanya kazi BOT kwa muda mchache.
Je, tunamuweka kundi gani?
Nifahamu Ila nimeuliza tuu,kwa vigezo vya kumwita mtu Mtaalamu kwa mujibu wa mtoa mada, Mwigulu anaangukia kundi gani.Maana kasema ili uitwe mwanasheria siyo kusomea tu bali lazima uwe una-practice law mahakamani!Duh...!, kiukweli Tanzania kazi ipo!. Hivi hujui taasisi za fedha na uchumi uko chini ya waziri gani?!.
Kazi tunayo!.
Waziri wa Fedha ndio mchumi No. 1 Tanzania!, BOT iko chini yake!.
P
Mkuu!! Vip kuhusu legal officer? Je Wana practice sheria.Mwanasheria ni mtu yoyote aliyesomea sheria, ila ku practice ndio lazima uwe wakili, na hata ukiwa wakili sio lazima ku practice mahakamani, kuna law firms kibao hawafanyi litigations na hawaendi mahakamani!. Legal issues zina so many fronts na sio issues za mahakamani only.
P
Sifa za elimu ziko objective hazitafsiriwi subjectively. Pili unapotaka kujadili jambo lolote kwanza weka chuki pembeni au unazi wa kumshabikia mtu. Mtu yeyote mwenye elimu ngazi fulani toka taasisi inayotambulika hicho ni cheti halali. suala la kudeliver kutokana na mtu kuwa na elimu au ujuzi fulani hiyo ni jambo lingine.Sasa Mwigulu hajawai ku-practice taaluma yake ya Uchumi pamoja na PhD yake, muda mwingi ameutumia kwenye siasa na kufanya kazi BOT kwa muda mchache.
Je, tunamuweka kundi gani?
Sifa za elimu ziko objective hazitafsiriwi subjectively. Pili unapotaka kujadili jambo lolote kwanza weka chuki pembeni au unazi wa kumshabikia mtu. Mtu yeyote mwenye elimu ngazi fulani toka taasisi inayotambulika hicho ni cheti halali. suala la kudeliver kutokana na mtu kuwa na elimu au ujuzi fulani hiyo ni jambo lingine.Sasa Mwigulu hajawai ku-practice taaluma yake ya Uchumi pamoja na PhD yake, muda mwingi ameutumia kwenye siasa na kufanya kazi BOT kwa muda mchache.
Je, tunamuweka kundi gani?
Yes wana practice,Mkuu!! Vip kuhusu legal officer? Je Wana practice sheria.
Nimekupata.Yes wana practice,
P
Mwigulu amesoma shahada ya uchumi.Sasa Mwigulu hajawai ku-practice taaluma yake ya Uchumi pamoja na PhD yake, muda mwingi ameutumia kwenye siasa na kufanya kazi BOT kwa muda mchache.
Je, tunamuweka kundi gani?
Kwenye siasa amekuwa exposed na wachumi wa kweli na kujaribu kumpika kwa nafasi ambazo CCM zilizomuandalia kutokana na degree yake ya uchumi.Sasa Mwigulu hajawai ku-practice taaluma yake ya Uchumi pamoja na PhD yake, muda mwingi ameutumia kwenye siasa na kufanya kazi BOT kwa muda mchache.
Je, tunamuweka kundi gani?
🤣🤣🤣Sasa mtaalamu ni nani.
Mtaalamu ni mtu ambae amefanya research na ame andika extensively on the subject.
Kuwa na degree akukufanyi kuitwa mtaalamu.
Mtaalamu sio mtu wa ovyo ovyo.
Kasirikeni ila viwango vya ujinga kwenye kipaisha wajinga wajinga pia vinatuchosha.
Eti Dr Mwigulu (pathetic).
Katika yote uliyoandika hapa, ni moja tu ndilo umekuwa mkweli juu yake. Hiyo namba moja uko sahihi kabisa.Nina matatizo mawili kwenye maisha kwenye maisha yangu kwa muda mrefu.
1. Ni mvuta sigara siipendi hii tabia na ndio vita yangu number moja ya kuacha hii tabia
2. JF addiction kushiriki kwenye huu upuuzi wa hii mijadala na vilaza kama nyie.
3. Tatu imebidi nicheke tu. JF atujuani na sina sababu ya kujielezea. Hila amini usiamini mimi nafyatua report ya degre ya yoyote ya social science na dissertation mpaka Phd kama unaweza nilipa.
Usiniambie mambo ya kijinga tafadhali, unaweza kuona utani nafyatua kweli huo upuuzi ndio fixer ninaejulikana huku mtaani kweli.
Kwa sasa nimeachana na huo upuuzi; lakini social science thesis naibetua dakika moja tu; ndio maana nawashangaa mkiangaika. na hizo Phd rahisi.