Umeona eeeh Arabela, wakija Tanga hawataki kurudi, na wengine wanazidi kuja. Wahaya, Wachaga (hawa wameacha wake zao Moshi, wana nyumba ndogo Tanga), Wakurya, Wasukuma n.k wameshindwa kurudi makwao. Chezeya mapenzi ya Tanga wewe.....
Aisee arif mbona unataka kuturushia sisi wanapollo, yaani unatuita machalii wa Chuga ni wastaarabu....aisee hebu futa haraka hiyo makitu kabla hatujanyofoa nyaya za JF seva...