MR KUO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 2,777
- 3,983
Pokea sifa za kijinga Sasa. Ukishatupia Uzi hapa na ukaruhusiwa na mods basi unakuwa sio wa kwako Tena bali wa kila member, Hapo Kuna wakina Mimi tutakaoona itakuwa ni sifa ya kijinga kupita bila kucomment.Ninahitaji sifa za kijinga tu,kama hujui kwanini umeongeza kb kwenye huu uzi? Ungeacha tu kukomenti chochote wala nisingehitaji kukuuliza kwa nini haujafanya vile.