Sifa za JKT Makutupora

GAS STATE

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
1,770
Reaction score
959
Aman ya kudumu iwe nanyi
dada yangu kapangiwa jkt Makotopora(sina uhakika linaandikwa hivi) huko Dodoma. kwa yeyote mwenye taarifa juu ya kambi hii anijuze tafadhali, kama vile shughuli za uzalishaji mali, ukubwa wa kambi na mengineyo.
Ahsante
nawasilisha.
 
Moja kati ya kambi mhaya sana za jkt!! Zamani ilikuwa RTS wakaitoa kuwa rts mpaka kuwa kambi ya jkt
 
...anijuze tafadhali, kama vile shughuli za uzalishaji mali, ukubwa wa kambi... Usijali, wewe mwache aende vyote atavikuta hukohuko, akirudi atakuambia yeye kwa undani zaidi!
 
Kwa heshima na taadhima naombeni Mods mfutilie mbali huu uzi, ni marufuku kujadili kambi zetu za majeshi mitandaoni,,, si nzuri hata kidogo kwa usalama wa taifa letu
 
Makutopora kwani shule au??mwambie Dogo aende kozi

In short kambi ya kawaida tuuu akafanye kazi za watu
 
Lazima wamsimamishie minazi sana..

Si wajua mkojo wa ngurutu ulivyo mtamu
 
Sifa moja ninayo ijua mimi ni, kambi ya Makutopora ipo karibu na shamba langu pale Veyula...
 
Kwa heshima na taadhima naombeni Mods mfutilie mbali huu uzi, ni marufuku kujadili kambi zetu za majeshi mitandaoni,,, si nzuri hata kidogo kwa usalama wa taifa letu
sidhani kama uko fit menta..y hoja ni 1;intro ya kambi eg kaambiwa aripoti kambini je atafikaje na hajuw njia utashndwa kumguide eti unatoa siri za kambi. 2;uzalishaji je ni zao gani zabbibu au mwani hali ya hewa ikoje hayo ndo nayotaka kujuwa na sio idadi ya mahema wala maafisa kwani wakazi gani mie.wenye hela wote hutumia sana akili badala ya nguvu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…