Sifa za husband material

Staki kupewa ban za rejareja mi uduguuu namie nataka kuwasemelea watu humuπŸƒπŸ»β€β™‚οΈ!
🀣🀣🀣🀣 Tafuta bas udugu me kumiliki mudi siwezi anaweza kuharibu kazi ofisini kwa watu
Ukinidate me unatakiwa uvae miwani ya mbao na moyo wako uwe strong
 
Hii bollywood naona wahusika wengi , aliyeiteka movie sana ni huyu anaebembeleza penzi jipya ndio kabeba sifa nyingi
 
🀣🀣🀣🀣 Tafuta bas udugu me kumiliki mudi siwezi anaweza kuharibu kazi ofisini kwa watu
Ukinidate me unatakiwa uvae miwani ya mbao na moyo wako uwe strong
Mi humu nawezea wapi ndugu yangu hapo sasa tutaonewa sana humu tuwe wapole tu! πŸ€ πŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈ
 
Mi humu nawezea wapi ndugu yangu hapo sasa tutaonewa sana humu tuwe wapole tu! πŸ€ πŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈ
Hujaamua tu udugu, km kaukau zimepata utashindwa weye dada mwenye mshepu wake jf nzima 😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…