Sifa za husband material hizi hapa

Love is a two way trafic, ili upate wa sifa hizo nawe yafaa uwe na sifa hizo.
 
Kumbe kukumbuka siku ya kuzaliwa ya mpenzi wako nayo ni dalili ya kuwa husband material?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
kama kuna mwanaume wa mtindo huo tumuweke makunbusho ya taifa.
 
Habari wana jamvi kwanza naflahi sana kwa kupata nafac ya ku share kwenye hii thread ni nzuri wanaume tupo japo wanawake wengi sasa hivi wanaamini kuwa hakuna wanaumekama hao na kumbe uzaniavyo kumbe cvyo thanks...
 

umeniongelea mimi kwa asilimia 100.
 
mwanaume mwenye hizo fisa lazima atakuwa na tatizo la akili
binadamu aliyekamilika lazima awe na kasolo hizo kasolo ndio raha ya ndoa pale mke anakusihi baba furani acha hivyo unaacha anafurahi
 
Hizo Sifa Zote Ningeziweza But Hyo Ya 3. HAPANA,kwenye Pesa Chalii Umefka Mbali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…