Tajiri Mapesa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2020
- 707
- 748
Ahsante kwa ushauriMambo ya kizamani hayo...
Siku zote ukitaka kuoa angalia tabia za binti husika, usiangalie sifa la kabila lake.
Kumbuka huoi kabila kijana
Sent using Jamii Forums mobile app
Songwe..wilaya ya mombaNdio kabila la watu wawapi hilo? ? Aisee Tz ina makabilaaaa
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana matusi balaaKuwa makini tu Mana tabia ni tofauti wa kwangu ni mnyamwanga . Wanyamwanga Wana majina kama haya kwa wasio wafahamu
Simwita
Siame
Simkanga n.k
-Wanapenda pombe kama wasafwa vile.
-Wanamapenzi ya kweli.
-Wanaheshima sana.
-Wanapenda dudu sana kama huna uwezo wa kuwashughulikia kausha.
-Wanapenda uchawi Ila inafuatana hapo.
-Wavumilivu sana hata kama huna ela ili mradi mashine inapiga kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
πππjwa hiyo hapa jf ukiambiwa kuwa wanatoa 071 ndio utaahirisha kumpenda?
nimependa majina hayo bibie SiemeKuwa makini tu Mana tabia ni tofauti wa kwangu ni mnyamwanga . Wanyamwanga Wana majina kama haya kwa wasio wafahamu
Simwita
Siame
Simkanga n.k
-Wanapenda pombe kama wasafwa vile.
-Wanamapenzi ya kweli.
-Wanaheshima sana.
-Wanapenda dudu sana kama huna uwezo wa kuwashughulikia kausha.
-Wanapenda uchawi Ila inafuatana hapo.
-Wavumilivu sana hata kama huna ela ili mradi mashine inapiga kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app