youngkato
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 3,638
- 3,641
Katika kila mtaa, sokoni, au hata mtandaoni, kuna biashara ambazo kila mtu huzizungumzia. Kuna foleni milangoni mwao, simu hazipokeleki kwa wingi wa oda, na wateja wa zamani hurudi tena na tena.
Biashara ambazo zinajali maoni ya mteja na kushughulikia changamoto zao kwa haraka hupata uaminifu wa muda mrefu.
Mfano wa maisha halisi: Mteja anapofika dukani na kuulizwa “Karibu tena, ulikuwa na maoni gani kuhusu bidhaa ya wiki iliyopita?” Hii inafanya mteja awe rafiki yako.
Biashara zinazoongoza kwa idadi ya wateja ni zile zinazodumu katika kutoa bidhaa bora na huduma zenye viwango vya kimataifa, hata kama ni biashara ya mtaani.
Hii nimeona kwenye supermarket za kenya.
Kuwa na biashara yenye wateja wengi si suala la bahati. Ni matokeo ya mfumo, mkakati na nidhamu ya kibiashara.
Kama biashara yako haina huduma nzuri, haipo mitandaoni, haibadiliki, au haionyeshi uaminifu basi hupaswi kushangaa kwa nini wateja wako hawarudi au hujawa na wachache.
Unataka kuongeza wateja kwenye biashara yako? Unahitaji kujua jinsi ya kuiboresha, kuisajili?
Nitafute moja kwa moja kupitia WhatsApp: wa.me/+255693880325
Sifa kuu za biashara zenye mvuto wa kudumu kwa wateja, kwa kutumia marejeo kutoka kwa blogu mbalimbali za kibiashara pamoja na uzoefu wangu kwenye kufanya biashara.Swali linabaki: ni nini hasa hufanya biashara hizi kuvutia wateja kwa wingi?
1. Huduma kwa Mteja (Customer Service) ya Juu Sana
Kulingana na HubSpot Blog, zaidi ya 90% ya wateja wana nafasi kubwa ya kurudi tena kwenye biashara ambayo iliwahudumia vizuri, hata kama bei ni juu. Wateja wanapenda kuhisi wanathaminiwa, kusikilizwa, na kuhudumiwa kwa heshima.Biashara ambazo zinajali maoni ya mteja na kushughulikia changamoto zao kwa haraka hupata uaminifu wa muda mrefu.
Mfano wa maisha halisi: Mteja anapofika dukani na kuulizwa “Karibu tena, ulikuwa na maoni gani kuhusu bidhaa ya wiki iliyopita?” Hii inafanya mteja awe rafiki yako.
2. Ubora wa Bidhaa au Huduma
Mmmiliki wa shopify anasisitiza kwamba wateja wa kisasa si wa kubahatisha. Wanalinganisha bidhaa, wanasoma maoni mtandaoni, na wanajua thamani ya kile wanachonunua.Biashara zinazoongoza kwa idadi ya wateja ni zile zinazodumu katika kutoa bidhaa bora na huduma zenye viwango vya kimataifa, hata kama ni biashara ya mtaani.
3. Uaminifu na Uwazi
“Transparency builds trust, and trust builds loyal customers.” Wateja wanapenda kujua bei halisi, masharti, muda wa huduma, na pia kupewa taarifa kama kuna mabadiliko yoyote. Biashara zenye uwazi ni zile ambazo mteja ana uhakika hatadanganywa, hata wakati kuna changamoto.4. Uwepo Mitandaoni
Biashara zilizo na uwepo wa mitandaoni huongeza visibility yao mara tatu zaidi kuliko zile zinazotegemea njia za kawaida tu. Biashara zenye wateja wengi si tu kwamba zina maduka halisi, bali pia zipo Instagram, WhatsApp, TikTok, YouTube, Facebook, Google My Business, nk. Wateja wanapotafuta jina lako mtandaoni na wakalikuta kwa urahisi, tayari umejenga imani ya awali.5. Uwezo wa Kubadilika na Kujifunza
Biashara zinazoongoza hazikamatwi na ushindani kwa sababu zinajua kujifunza kutoka kwa maoni ya wateja, kupokea mrejesho na kuutumia kuboresha huduma. Forbes iliripoti kwamba 70% ya biashara zinazofeli huwa hazisikilizi soko linataka nini.6. Ofa, Referral Bonuses
Wateja wanapenda kuthaminiwa. Biashara zinazowapa wateja wao ofa ndogo ndogo, pointi za uaminifu, na motisha za kuwaalika wengine — huona ongezeko la wateja kila mwezi.Hii nimeona kwenye supermarket za kenya.
7. Mawasiliano ya Haraka na Sahihi
Wateja hawapendi kusubiri wanataka majibu sasa. WhatsApp, DM, au SMS, zinahitaji kufanyiwa kazi kitaalamu.Kuwa na biashara yenye wateja wengi si suala la bahati. Ni matokeo ya mfumo, mkakati na nidhamu ya kibiashara.
Kama biashara yako haina huduma nzuri, haipo mitandaoni, haibadiliki, au haionyeshi uaminifu basi hupaswi kushangaa kwa nini wateja wako hawarudi au hujawa na wachache.
Unataka kuongeza wateja kwenye biashara yako? Unahitaji kujua jinsi ya kuiboresha, kuisajili?
Nitafute moja kwa moja kupitia WhatsApp: wa.me/+255693880325