Mbili na robo.6 juu ya 7 kipeuo cha 3 jibu ngapi?
Unaelekea wapi nikuonyeshe njia mkuuKweli mali kichwa ticha Mungu onyesha njia
Sasa hapo itategemea hicho kigawe kipo shirika lipi, kwa mfano kigawe cha shirika la umeme kipo pale Ubungo, kama ni kigawe cha shirika la utangazaji kipo pale Bamaga - Kijitonyama karibu na chuo cha ustawi wa jamii 😎Kukitafuta Kigawe Kidogo cha Shirika
Na Kigawo Kikubwa cha Shirika kipo wapi?Sasa hapo itategemea hicho kigawe kipo shirika lipi, kwa mfano kigawe cha shirika la umeme kipo pale Ubungo, kama ni kigawe cha shirika la utangazaji kipo pale Bamaga - Kijitonyama karibu na chuo cha ustawi wa jamii 😎
Vigawe vikubwa vyote vinakaa kwenye wizara husika na sio kwenye mashirika na makatibu ndio watendaji wakuu hadi kufika huko kwenye mashirikaNa Kigawo Kikubwa cha Shirika kipo wapi?
Kwa hio hapo unataka kusemaje? Kikokotoo kiingizwe Bungeni wabunge wakwanguliwe posho mpaka seating allowance?Vigawe vikubwa vyote vinakaa kwenye wizara husika na sio kwenye mashirika na makatibu ndio watendaji wakuu hadi kufika huko kwenye mashirika
Ndio, na nyumba zote za ibada walipe kodi.Kwa hio hapo unataka kusemaje? Kikokotoo kiingizwe Bungeni wabunge wakwanguliwe posho mpaka seating allowance?
Chcht cha msingi wafike eneo la kazi kwa wakati.Kwa hio Mawaziri/Wabunge watembelee nini Bajaj au Bodaboda au Miguu?
Safi, tubane matumiziMiguu inatosha