Sifa ya moyo tamaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sifa ya moyo tamaa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by funzadume, Jan 20, 2011.

 1. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2011
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,430
  Likes Received: 2,009
  Trophy Points: 280
  Tuliza moyo wakooo
  kubali mapungufu yakooo
  Rahisisha mahitaji yakooo
  Ongeza kipato chakoooooooo

  Chunga tamaa mbaya chunga tamaa mbaya...


  wekeni verse najua huu wimbo unapendwa sana na wana JF
   
 2. Desidii

  Desidii JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 1,212
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hivi huu ni wimbo au shairi miwani imekaa vibaya leo
   
 3. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2011
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,430
  Likes Received: 2,009
  Trophy Points: 280
  chorus ya nyimbo ya 20% inaitwa tamaa mbaya, hata hivyo hujakosea kwani nyimbo ni mistari ya mashairi na utunzi wowote wa nyimbo unaanzia kwenye shairi
   
 4. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #4
  Jan 20, 2011
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  20%...nahc wimbo huu utaishi miaka mingi ijayo!!
   
Loading...