miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
hii chali ni ya arushahivi watu wa DAR wamewakosea nini nyiniy??!! sasa maoni ya mtu mmoja ambae inawezekana yupo huko ulipo yanaingizaje wanaume wa DAR??!! Dont hate the player hate the game.
Utafiti tuliofanya unaonyesha haya yafuatayo;
1. Wasichana wafupi wanaongoza kwa wivu wa mapenzi na kuwajali wapenzi wao.
2. Wasichana warefu huwa hawajali wapenzi wao na hawaogopi mahusiano kuvunjika,
na hawajui kubembeleza hata kidogo, yaani bado wao mbulula.
3. Wasichana wenye dimpoz, mwanya, matege, mbinuko, mahips na kithembe hawa wanaogoza
kwa kutokuwa waaminifu katika mapenzi na simu zao mara nyingi wanaziwekea "password" huwezi kusoma meseji zao.
4. Wasichana wanene wanaongoza kwa mapenzi ya kweli yaani akipenda amependa kweli.
5. Wasichana wembamba hao huwa ni wabishi sana na huwa wanaongoza kwa kutendwa.
6. Wasichana weusi wanaongoza kwa kutoa mimba na kupenda wanaume warefu na weupe.
7. Wasichana weupe wanaongoza kwa kuzalia kwao nyumbani, na hawa weupe sana uolewa wakiwa na watoto tayari.
aisee ..nataka nikuone mtu wa duara nijue na kipenyo chako
makadirio mfunamba 5 naona inamfit #miss chagga
hizo nyingine sijui ila hio NAMBA TANO......kwa experience yangu ina ukweli!!!
Mh.. siriaz mkuu?
Yes I'm serious. Kwani na wewe ni hao wa namba tano!?
Hii tafiti kundi langu halimo mkuu
mtu anayekaa kuchambua chambua wanawake ni mwanaume wa dar....wenye sifa ya kula chips nusu sahani
huwezi kukuta mwanaume wa maswa, mbeya,arusha, iringa akichambuachambua wanawake.....
kushindwa kumdhibiti au to shape a woman ni upungufu wa mwanaume husika na sio wa mwanamke
wanaume wa bongo aisee.. bora tu kuchukua wakurunzinza aiseee
Wewe sio mnene,sio mwembamba,sio mfupi,sio mrefu,sio mweusi,sio mweupe?!
mtu anayekaa kuchambua chambua wanawake ni mwanaume wa dar....wenye sifa ya kula chips nusu sahani
huwezi kukuta mwanaume wa maswa, mbeya,arusha, iringa akichambuachambua wanawake.....
kushindwa kumdhibiti au to shape a woman ni upungufu wa mwanaume husika na sio wa mwanamke
Kweli kabisa.....hasa wanawake weupe wanazaa makwao sana
watu wanaogopa wasizae zeruzeru