Hujui lolote kaka kwani katika jamii ya waha wa mkoani kigoma kuna tabaka tatu yaani watutsi,wahutu ,watwa kama jamii za wanyarwanda na warundi kwa hiyo unapo sema waha hujui ulizungumzalo maana waha ni mjumuisho wa tabaka hizi tatu hivyo maswara ya upambe na kudharau kabila za wengine acha kabisa QUOTE="stephot, post: 4072874, member: 72725"]Uchafu hasa wa ndani ya nyumba na body hygenie,inabidi uwe mkali kwa hilo na hawajipendi sana(wengi wao),pia ubishi itabidi ulivumilie hilo maana hawana tofauti sana na waha.[/QUOTE]