Sifa na tabia za mabinti na wanawake wa Kihutu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sifa na tabia za mabinti na wanawake wa Kihutu.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KIBURUDISHO, Jun 17, 2012.

 1. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Wana wa familia ya JF mambo vp? Katika miangaiko ya kuyatafuta maisha hatimaye mwenzenu nimefika nchini Rwanda nimempata binti mmoja wa kihutu anaitwa Grolia nimempenda sana na nimeanzisha uhusiano wa kimapenzi pamoja naye na sasa yapata miezi sita tukiwa ndani ya uhusiano vp mbali na mambo mengine ni zipi hasa sifa na tabia ya kabila hili ktk suala zima la ndoa.Kwa wanaofahamu nahitaji msaada wenu.
   
 2. Glucky

  Glucky Senior Member

  #2
  Jun 17, 2012
  Joined: Dec 16, 2009
  Messages: 123
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Lazima awe na mtoto na mhutu mwenziwe Jiandae kwa hilo.
   
 3. Adharusi

  Adharusi JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 10,630
  Likes Received: 3,014
  Trophy Points: 280
  Umechanganya na mtusi..ndio wanatabia hizo
   
 4. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #4
  Jun 17, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Jitahidi kufanya mazoezi ya ngumi. Lolote linaweza kutokea.
   
 5. IHOLOMELA

  IHOLOMELA JF-Expert Member

  #5
  Jun 17, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 830
  Likes Received: 356
  Trophy Points: 80
  Wahutu ni wapole sana na wakarimu pia kwa tabia zao! Usikhofu mkuu, beba mzigo udumishe jumuia ya Afrika Mashariki
   
 6. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #6
  Jun 17, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Jun 17, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  wahutu ndio hao hao waha
  tofauti ni jina tu
  na mipaka ya wakoloni
   
 8. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #8
  Jun 17, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Kivipi mkuu?
   
 9. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #9
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Umebahatisha jibu mkuu beba jumla umeua tembo kwa ubua!!
   
 10. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #10
  Jun 17, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  umri ukisogea kidogo

  [​IMG]
   
 11. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #11
  Jun 17, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 12. Cool Gentleman

  Cool Gentleman JF-Expert Member

  #12
  Jun 17, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 330
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  LOL . . . . Kigali mbali Kigali mbali tukumbukane kwa barua . . . kila la heri Mkuu. Tabia ya mtu ni Unique kwa kila mmoja.
   
 13. Cool Gentleman

  Cool Gentleman JF-Expert Member

  #13
  Jun 17, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 330
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Ronn M ukienda Kigali kama umeshatembelea Genocide Memorial Sites kule kwenye mafuvu, utakuta kuna picha nyingi zimetundikwa za wale waliouwawa. Kwa kweli inasikitisha sana. Kuna Wadada wazuri sana majority waliouwawa na watoto wazuri sana.

  Shida ni kuwa wakoloni ndiyo waliopandikiza chuki ya wenyewe kuanza kuchukiana. Kwa sasa hii imepungua. Wanyarwanda general ni watu wazuri na katika kipindi hiki cha almost 10 years they really know what they want much far than TZ. Hongera Wanyarwanda.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #14
  Jun 17, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0

  Ukweli ndio huo, hawa wenzetu wamepitia mengi, magumu na mazito, sasa wamegundua wanataka nini, wamesimama,

  wanatembea, soon watakimbia na kuruka, hatutawakamata! Miaka hamsini ya uhuru, bado Dar inapata supply ya maji

  from only one source!
   
 15. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #15
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,271
  Trophy Points: 280
  Lakini wewe si ni KIBURUDISHO? bado sijaelewa vizuri hapa.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. UKI

  UKI JF-Expert Member

  #16
  Jun 18, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  wahutu ni kama waha wa kigoma hata baadhi ya maneno husikilizana wao hawana matatizo sana kulinganisha na wale black beauty (watusi) jichanganye nae tu mkuu halalisha ndoa
   
 17. j

  jayp1617 Member

  #17
  Jun 18, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  - wachoyo
  - wabinafsi
  -wana wivu sana
  -wanapenda kwao zaidi
  -easy go
   
 18. DERICK2000

  DERICK2000 JF-Expert Member

  #18
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 204
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wana mishape midhuri..
   
 19. stephot

  stephot JF-Expert Member

  #19
  Jun 18, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 5,021
  Likes Received: 2,632
  Trophy Points: 280
  Uchafu hasa wa ndani ya nyumba na body hygenie,inabidi uwe mkali kwa hilo na hawajipendi sana(wengi wao),pia ubishi itabidi ulivumilie hilo maana hawana tofauti sana na waha.
   
 20. d

  dandabo JF-Expert Member

  #20
  Jun 18, 2012
  Joined: Feb 18, 2012
  Messages: 303
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 45
  rafiki yangu mmoja anajuta kuwafahamu hao watu! Yeye kapigwa ban kwenda kwao, nyumbani kwake hata mzazi wake aumwe hawezi mpokea! Ila we jaribu bahati yako!
   
Loading...