anauza akiba yake ya dhahabu ili apige hela , pili anajifanya ana kiburi sasa hivi anahangaika kuwatafuta na kuwaomba msamaha mabeberu na kupiga nao picha.
Kuna jamaa namdai "JIWE" aka "BOX" aka "KILO" sasa baada ya kumkumbushia akasema atalipa kesho ila akaanza story kibao kama 100 hivi za uwekezaji ,ujenzi nikaona hapa hamna kitu ,sasa cha kushangaza zaidi ya week simu haipatikani.